SABBY, CYRILL WANASWA!
![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLR6aJ48QI*ppcLHRtP84JApFyZc0f2apL6KG1-di9ysqk1FW-xZ2TYnlUGvQbTn3wGXAwKAigBkskUkE9AT80Pl/4.jpg)
Imelda Mtema/mchanganyiko MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze ‘Cyrill’ na Mbongo Muvi Sabrina Omary ‘Sabby’ hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi. Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze ‘Cyrill’ na Mbongo Muvi Sabrina Omary ‘Sabby’ wakipozi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Sabby, Cyrill Wanaswa Wakiwa Kwenye Pozi Tata!
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Sabrina Omary ‘Sabby’ na muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi.
Chanzo chanzo makini cha GPL kilisema wawili hao walionekana hotelini hapo wakiwa eneo la kuogelea na walipomaliza walihamia katika viti ambako sasa walikumbatiana kimahaba kana kwamba hakuna mtu anayewaona.
Kwa nyakati tofauti walipoulizwa kuhusu...
9 years ago
Mtanzania16 Sep
Cyrill: Nasubiri uchaguzi upite
NA CHRISTOPHER MSEKENA
UCHAGUZI mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, umepunguza kasi ya wasanii wa sanaa mbalimbali kutoa kazi zao kutokana na upepo wa kisiasa kuchukua nafasi kubwa.
Msanii kutoka Singida, Cyrill Kamikaze, ni mmoja wao licha ya kukamilisha uandaaji wa wimbo wake mpya, lakini anashindwa kuutoa kwa sasa kutokana na harakati za siasa zilivyopamba moto.
“Sio mimi tu, wasanii wengi wapo kimya kwa sababu ya uchaguzi, kwa upande wangu nasubiri...
9 years ago
Bongo529 Dec
Cyrill ndiye aliyemshawishi Jux kuacha kurap
![12112282_968978856493247_182766289650621399_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12112282_968978856493247_182766289650621399_n-300x194.jpg)
Cyrill Kamikaze amesema yeye ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kumbadilisha member mwenzake wa kundi la Wakacha, Jux kuacha kurap na kuanza kuimba.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Cyrill alisema hatua hiyo ndiyo ilimfanya Jux aendelee kufanya vizuri zaidi.
“Mimi ndiye nilimforce sana Jux kuingia kwenye muziki, yaani alikuwa ni mwanangu na ni ndugu yangu. Alikuwa anarap, nikamwambia ‘wewe unaweza kuimba’ nikamwelekeza halafu nikampeleka studio akanifanyia...
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Hawa ndiyo watoto wa mitaani wanaosomeshwa na msanii cyrill Kamikaze
![](http://api.ning.com/files/741FtnVWixbaSUEZxk-tOn83QGr78Cx*SlXGqpoHojJO3NV4ThURKh-H1D1A4ZIdC17VIWtD0KYjFvBEaaVjaINNE46b5WVz/kamikaze1.jpg)
![](http://api.ning.com/files/741FtnVWixaIhK5T5JsBQPUWJMBqkcZrkHfeYy1CMfTpMy7d6CbDHTch*StbiNBzu95F-4pLGh-9HKvPaBNNk9--KbF*81p5/kamikaze1.jpg)
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
Sabby Ajisifu Kwa Mahaba
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amedai ni mtaalamu zaidi pale linapokuja suala la mahaba.
Sabby alisema kuwa anajiamini mno katika hilo kwani ni jukumu la mwanamke kumpa mapenzi mazito mtu yule anayempenda kwa dhati.
“Sio kwamba najisifu, lakini ukweli lazima katika mahaba uwe mjuzi wa hayo mambo ili hata mumeo au mpenzi wako asitoke nje kabisa,” alisema. Kuhusu kazi zake za filamu, alisema ataendelea kuhakikisha anatesa zaidi ili...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-pK2bdQiWa5fAFwRthEeUeGhBxzvulP8PcRHKxDOHJEMX2*Fjbc9NdUKbRQW8S2LbwaNipa2HcrXCYeIKJRtZ7/sabby1.jpg)
SABBY: NATAMANI PENZI LA DIAMOND
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NRpz*rV1U-v*ndOXPjSzjROoMJ7vYM-4i2DVWZ2HAsEftLGmhGcu6W3Qlq-dEosWiX9wdq94mBZWGZelkzW*rllTJ0jHfuXI/saby.jpg)
SABBY: WASANII TUPIME HIV
10 years ago
Bongo529 Sep
Picha: Rapper Cyrill alingishia (flaunt) cheque ya shilingi milioni 46 Instagram
10 years ago
TheCitizen23 Jan
Sabby Angel: Her Life, Career and new movie