Cyrill: Nasubiri uchaguzi upite
NA CHRISTOPHER MSEKENA
UCHAGUZI mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, umepunguza kasi ya wasanii wa sanaa mbalimbali kutoa kazi zao kutokana na upepo wa kisiasa kuchukua nafasi kubwa.
Msanii kutoka Singida, Cyrill Kamikaze, ni mmoja wao licha ya kukamilisha uandaaji wa wimbo wake mpya, lakini anashindwa kuutoa kwa sasa kutokana na harakati za siasa zilivyopamba moto.
“Sio mimi tu, wasanii wengi wapo kimya kwa sababu ya uchaguzi, kwa upande wangu nasubiri...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSABBY, CYRILL WANASWA!
9 years ago
Bongo529 Dec
Cyrill ndiye aliyemshawishi Jux kuacha kurap
Cyrill Kamikaze amesema yeye ndiye aliyefanya kazi kubwa ya kumbadilisha member mwenzake wa kundi la Wakacha, Jux kuacha kurap na kuanza kuimba.
Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Cyrill alisema hatua hiyo ndiyo ilimfanya Jux aendelee kufanya vizuri zaidi.
“Mimi ndiye nilimforce sana Jux kuingia kwenye muziki, yaani alikuwa ni mwanangu na ni ndugu yangu. Alikuwa anarap, nikamwambia ‘wewe unaweza kuimba’ nikamwelekeza halafu nikampeleka studio akanifanyia...
10 years ago
Bongo Movies11 Mar
Sabby, Cyrill Wanaswa Wakiwa Kwenye Pozi Tata!
Mrembo na staa wa Bongo Movie, Sabrina Omary ‘Sabby’ na muziki wa Bongo Fleva, Cyrill Kamikaze hivi karibuni walinaswa katika ufukwe wa Hoteli ya Golden Tulip, Masaki jijini Dar wakiwa kimahaba na hivyo kuzidisha tetesi kuwa wanatoka kimapenzi.
Chanzo chanzo makini cha GPL kilisema wawili hao walionekana hotelini hapo wakiwa eneo la kuogelea na walipomaliza walihamia katika viti ambako sasa walikumbatiana kimahaba kana kwamba hakuna mtu anayewaona.
Kwa nyakati tofauti walipoulizwa kuhusu...
9 years ago
Mtanzania11 Nov
Maalim Seif: Nasubiri kuapishwa
*EU yataka mshindi Zanzibar atangazwe
Na Mwandishi Wetu, Pemba
MGOMBEA urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewata wananchi wa Kisiwa cha Pemba kutembea kifua mbele, kwani anachosubiri ni muda tu ili aweze kuapishwa kuwa rais wa awamu ya nane wa Zanzibar.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya viongozi wa wilaya, majimbo na matawi kisiwani Pemba uliofanyika wilayani Chakechake.
Maalim Seif ambaye pia ni Katibu Mkuu wa...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Nasubiri siku ya kufukuzwa Pinda
KWELI hatamu ni tamu, yaani Waziri Mkuu Mizengo Pinda hataki kuondoka madarakani kwa hiyari yake baada ya kushambuliwa kuwa ni mzigo namba moja ndani ya serikali, hadi aondolewe? Nimestaajabu sana...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Nasubiri miujiza ya mtandao 2015
AJENDA ya uteuzi wa jina la mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao mwakani inatishia kukisambaratisha chama hicho na kusababisha anguko kwenye uchaguzi huo. Tishio...
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Hawa ndiyo watoto wa mitaani wanaosomeshwa na msanii cyrill Kamikaze
11 years ago
GPLNASUBIRI MUNGU AICHUKUE ROHO YANGU
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Nasubiri Dk Magufuli ageukie sekta ya elimu