Maalim Seif: Nasubiri kuapishwa
*EU yataka mshindi Zanzibar atangazwe
Na Mwandishi Wetu, Pemba
MGOMBEA urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewata wananchi wa Kisiwa cha Pemba kutembea kifua mbele, kwani anachosubiri ni muda tu ili aweze kuapishwa kuwa rais wa awamu ya nane wa Zanzibar.
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya viongozi wa wilaya, majimbo na matawi kisiwani Pemba uliofanyika wilayani Chakechake.
Maalim Seif ambaye pia ni Katibu Mkuu wa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Balozi Seif amponda Maalim Seif
9 years ago
Habarileo01 Dec
CCM Zanzibar yakanusha kuridhia Seif kuapishwa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimekanusha taarifa zilizosambazwa katika mitandao ya kijamii kwamba kimeridhia mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuapishwa na kukabidhiwa nchi.
9 years ago
Mwananchi30 Nov
CCM yakanusha taarifa za kuridhia kuapishwa kwa Seif
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Balozi Seif Iddi ahudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya Zambia
Mtoto wa Kizambia Anna Samwel Munata akimkabidhi ua Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ikiwa ishara ya makaribisho kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa eneth Kaunda alipohudhuria kuapishwa kwa Rais Mpya wa Nchi hiyo Bwana Edgar Chagwa Lungu.Kulia ni Waziri wa Kazi na huduma za Kijamii wa Serikali ya Jamuhuri ya Zambia Bwana Fackson Shamenda.
Balozi Seif akisalimiana na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania waliopo Lusaka Zanzbia kwenye uwanja wa ndege wa Keneth Kaunda...
10 years ago
Mtanzania09 Sep
‘Maalim Seif ni Popo’
![maalim seif sharif hamad](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/maalim-seif-sharif-hamad.jpg)
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad
NA MAREGESI PAUL, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.
Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...
9 years ago
Mtanzania10 Sep
Maalim Seif: Sawasawa
Na Waandishi Wetu, Zanzibar
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimezindua kampeni za Urais Zanzibar kwa kishindo huku mgombea wake, Maalimu Seif Sharif Hamad, akiahidi ajira kwa Wanzibari wote ndani ya miaka mitano na kubadilisha uchumi wa nchi hiyo kuwa imara kama ule wa Singapore.
Akizungumza na maelfu ya wananchi wa visiwa hivyo waliojitokeza jana kwenye uwanja wa Kibanda Maiti Unguja, Maalim Seif alisema endapo atapatiwa ridhaa ya kuongeza nchi, atapigania pia mamlaka kamili ya Zanzibar ikiwa ni...
10 years ago
Mwananchi12 Jul
Ni Shein na Maalim Seif
9 years ago
Mwananchi23 Oct
Maalim Seif: Msihofu
9 years ago
Mwananchi05 Nov
JK akutana na Maalim Seif