Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nasubiri siku ya kufukuzwa Pinda

KWELI hatamu ni tamu, yaani Waziri Mkuu Mizengo Pinda hataki kuondoka madarakani kwa hiyari yake baada ya kushambuliwa kuwa ni mzigo namba moja ndani ya serikali, hadi aondolewe? Nimestaajabu sana...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Pinda: Siku za uandikishaji zitaongezwa majimboni

Dodoma. Serikali imeiagiza Tume ya Uchaguzi (NEC) kuongeza siku za uandikishaji kwenye majimbo iwapo kutakuwa na watu ambao hawajapata nafasi ya kusajiliwa kwenye Daftari la Wapigakura katika muda uliopangwa.

 

9 years ago

Mtanzania

Cyrill: Nasubiri uchaguzi upite

CYILLNA CHRISTOPHER MSEKENA

UCHAGUZI mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, umepunguza kasi ya wasanii wa sanaa mbalimbali kutoa kazi zao kutokana na upepo wa kisiasa kuchukua nafasi kubwa.

Msanii kutoka Singida, Cyrill Kamikaze, ni mmoja wao licha ya kukamilisha uandaaji wa wimbo wake mpya, lakini anashindwa kuutoa kwa sasa kutokana na harakati za siasa zilivyopamba moto.

“Sio mimi tu, wasanii wengi wapo kimya kwa sababu ya uchaguzi, kwa upande wangu nasubiri...

 

9 years ago

Mtanzania

Maalim Seif: Nasubiri kuapishwa

pic+seif*EU yataka mshindi Zanzibar atangazwe

Na Mwandishi Wetu, Pemba

MGOMBEA urais wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewata wananchi wa Kisiwa cha Pemba kutembea kifua mbele, kwani anachosubiri ni muda tu ili aweze kuapishwa kuwa rais wa awamu ya nane wa Zanzibar.

Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akihutubia katika mkutano ulioandaliwa kwa ajili ya viongozi wa wilaya, majimbo na matawi kisiwani Pemba uliofanyika wilayani Chakechake.

Maalim Seif ambaye pia ni Katibu Mkuu wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nasubiri miujiza ya mtandao 2015

AJENDA ya uteuzi wa jina la mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi mkuu ujao mwakani inatishia kukisambaratisha chama hicho na kusababisha anguko kwenye uchaguzi huo. Tishio...

 

9 years ago

Mwananchi

Nasubiri Dk Magufuli ageukie sekta ya elimu

Mipango mingi imepangwa, ukiwamo ule wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), lengo likiwa ni kuhakikisha nchi inapata mafanikio katika sekta mbalimbali.

 

11 years ago

GPL

NASUBIRI MUNGU AICHUKUE ROHO YANGU

MWANAFUNZI wa kidato cha nne nchini Burundi, Miburo Anne Mony (17), raia wa nchi  hiyo amesema anakwenda kufia kwao baada ya madaktari ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kumwambia ugonjwa wake wa kansa umecheleweshwa hivyo si rahisi kutibika. HAJUI ATARUDIJE NYUMBANI
Akizungumza na mwandishi wetu huku akibubujikwa machozi ndani ya Wodi Na. 24, Sewa Haji, Muhimbili, mwanafunzi huyo wa kike ambaye hajui Kiswahili wala Kingereza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nasubiri kuona anguko la pili la Mangula

MFUKUNYUKU nimelazimika kunukuu taarifa hii ili kujadili hoja iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phillip Mangula, ambaye juzi alisema kuwa chama hicho kimeunda timu ya kuwachunguza makada wake wanaodaiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Pinda ahutubia sherehe za siku ya walimu Mjini Bukoba

PG4A3814

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu mtambo wa kutotoa vifaranga kutoka kwa Mwalimu Deudediti Rwekaza  (kushoto) katika onyesho ya siku ya walimu Duniani iliyofanyika kitaifa kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba Oktoba 5, 2014. (Piocha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A3864

Baadhi ya  walimu walioshiriki katika sherehe za siku ya walimu Duniani wakiimba wimbo maalum wa Walimu kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba ambako sherehe hizo zilifanyika kitaifa Oktoba 5, 2014. (Picha na Ofisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani