Picha: Rapper Cyrill alingishia (flaunt) cheque ya shilingi milioni 46 Instagram
Havumi lakini yumo. Rapper anayetokea Singida, Cyrill Kamikaze amepost picha ya cheque ya benki ya shilingi milioni 46. “Mara ya kwanza ilionekana ngumu but kuto kukata tamaa na juhudi nyingi imefanya kila kitu kionekane possible.. Being the youngest entrepreneur in the business but still kicking it .. Ukiweka nia kila kitu kinawezekana!! #mondayflow kaziniii #chequeissue […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo511 Nov
Jux aonesha milioni 100 kwenye Instagram (Picha)
![page](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/page-300x194.jpg)
Kumiliki shilingi milioni 100 kwa wakati mmoja kwa watu wengi ni ndoto nadra kutimia. Kwa Jux hizo ni fedha anazozishika kila wakati na ndio maana haoni hatari kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amepost picha za fedha hizo zilizo kwa dola na kuandika:
It’s 50k in USD, its 100million in TSHs I think I don’t have a bad weekend I saw my first 100mil when I was 22 now it’s not new anymore go hard everything is possible in God I trust don’t forget...
9 years ago
Bongo508 Oct
Baby Madaha: Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 500 kwenye kampuni yangu ya filamu (Picha)
11 years ago
Bongo503 Aug
Picha: Kwa gari jipya na zawadi ya shilingi milioni 250, harusi ya Pastor Myamba ni funika bovu!
10 years ago
CloudsFM02 Apr
10 years ago
Bongo524 Sep
Picha: Amber Rose ashare picha yake ya utupu Instagram (18+)
11 years ago
BBCSwahili03 Jun
Instagram yafuta picha za Uchi
9 years ago
Bongo507 Dec
Jokate awa Mtanzania wa nne kufikisha followers milioni 1 Instagram
![kidoti2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/kidoti2-300x194.jpg)
Jokate Mwegelo ameongezeka kwenye orodha ya mastaa wa Tanzania waliofikisha followers zaidi ya million moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.
Baaada ya Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Millard Ayo sasa Jokate anakuwa Mtanzania wa nne kufikisha followers milioni 1.
Kupitia Instagram yake Jokate ameandika;
“Gmooorning. Kisses to all my ONE million followers on Instagram. Mabuthu buthu tele kwenu nyote kwa kufikia millioni mmoja kwenye page yangu. Usengwile. . #Kidoti”
Jiunge na...
9 years ago
Bongo528 Sep
Instagram sasa ina watumiaji (active) zaidi ya milioni 400