Sabodo: JK amepwaya
MFANYABIASHARA maarufu nchini na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mustafa Sabodo, amesema Rais Jakaya Kikwete hana uwezo wa kuamua mambo kiasi kwamba kila mwanachama wa CCM ana jeuri ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Simanzi Sekondari ya Sabodo, wanafunzi wazikwa
11 years ago
Habarileo27 Jan
Pinda atembelea majeruhi Shule ya Sabodo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ametembelea Shule ya Sekondari ya Mustafa Sabodo kwa ajili ya kutoa pole kutokana na wanafunzi watano wa shule hiyo kupoteza maisha baada ya kukanyagwa na gari. Pinda pia aliwatembelea baadhi ya wanafunzi majeruhi ambao wamelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Ligula ambako alipata fursa ya kuzungumza nao na kuwapa pole wanafunzi hao.