Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari ya BSS: Ni Vita yenye vitisho, mapinduzi muziki wa Bongo

>Hakuna  jambo lolote linalopita mbele ya uso wa jamii, hususan kwa manufaa ya jamii yenyewe likakwepa mishale ya kupigwa vita, uhasama na kukatisha tamaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Walter Chilambo adai hajawahi kutumia milioni 50 za BSS kwenye muziki wake

Mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2013, Walter Chilambo amesema hajawahi kutumia pesa aliyoshinda kwenye Shindano hilo kwa shughuli zake za muziki. “Milioni 50 nilizozipata nimezitumia kwa mambo mengine kabisa kama kununua gari na mengine ya kimaisha zaidi ya muziki, Chilambo aliiambia tovuti ya Times FM. Chilambo amesema kazi zake za muziki zilikuwa zikisimamiwa […]

 

10 years ago

Michuzi

Bongo Star search (BSS) yatoa sita bora jijini Mwanza

Vipindi vya Bongo Star search vimeanza kwenda hewani, na siku ya jana imeruka episode ya kwanza kuonyesha mchujo jinsi ulivyoenda mpaka kubakiwa na Top 6 (pichani) ya washiriki kutoka Mwanza ambayo itajumuika na washindi wa mikoa iliyosalia.
Kipindi kitakuwa kinaruka kila siku ya Jumapili, saa tatu kamili kwenye vituo vya televisheni vya Clouds Tv na Star Tv na marudio yake; Kwa Clouds Tv ni Jumanne saa tano kamili asubuhi pamja na Alhamisi saa nane kamili mchana; Kwa StarTV ni Alhamisi saa...

 

11 years ago

Habarileo

Lowassa: Nimeanza safari yenye matumaini

Edward lowassaMBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa amesema ameanza safari yake jana yenye matumaini makubwa kwa Watanzania, lakini yenye vikwazo vingi, ingawa anasema ana uhakika wa kufika na kushinda.

 

10 years ago

GPL

ALI KIBA MASHABIKI WATARAJIE MAPINDUZI YA MUZIKI

Omary Mdose Dar es Salaam
STAA wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’, amefunguka mengi kuelekea katika shoo anayotarajiwa kufanya Aprili 5, mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar. Staa wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Ally Saleh ‘Ali Kiba’. Hii itakuwa ni mara nyingine kwa msanii huyo kupanda jukwaani hapo baada ya kufanya hivyo miaka miwili...

 

10 years ago

Michuzi

Christian Bella Kuleta Mapinduzi ya Muziki wa Dance Inchini Tanzania

Mfalme wa Masauti Christian Bella ameachia Track yake mpya Nashindwa Audio pamoja na Video, Audio ya wimbo huo imefanywa chini ya Studio za Combination sound chini ya Producer man Walter na Video imefanyika Africa ya Kusini na director kutoka Bongo Adam Juma, Christian Bella amesema kuwa lengo la kwenda South Africa ilikua ni kufata location tu na pia amesema kuwa madirector wa Bongo wanauwezo mkubwa sana wa kufanya video nzuri kwa sasa isipokuwa hawana connection za TV kubwa za Africa na...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Bongo5

Gabo asema filamu yake mpya ya ‘Safari ya Gwalu’ italeta mapinduzi

Msanii wa filamu aliyetamba kwenye Bado Natafuta, Gabo Zigamba amesema filamu yake mpya ‘Safari ya Gwalu’ italeta mapinduzi nchini. Gabo ameiambia Bongo5 leo kuwa uwezo aliouonesha katika kazi hiyo utawafanya watu waamini kipaji chake. “Mimi nategemea mafanikio makubwa kwa sababu hii ni miba ya nyikani na haivunjiki kwa mkono,” amesema. Ajira isiyo rasmi sasa tunakwenda […]

 

5 years ago

Bongo5

Safari ya muziki wangu imejaa maumivu na vilio – Q Chief

Muimbaji mkongwe wa muziki Q Chief amesema show yake ya ‘Miaka 15 ya Q Chief’ katika muziki inayotarajia kufanyika April 30 katika ukumbi wa Next Door, Masaki, jijini Dar es salaam itakuwa ni show ambayo itabeba mambo mengi yakumtoa machozi kutokana na changamoto alizozipitia katika maisha ya muziki.

Akiongea na Bongo5, Q Chief amesema atatumia show hiyo kumtambulisha mama watoto wake kama miongoni mwa watu waliompigania katika nyakati zote.

“Show hii itakuwa ni burudani lakini pia naweza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bongo flava muziki wa Tanzania unavyokua

Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani