Safari ya Kasongo Mpinda 1945-2015
NA VALERY KIYUNGU
KABLA majonzi, vilio na masikitiko ya tasnia ya muziki kumpoteza mtunzi wa wimbo uliojizolea umaarufu mkubwa ‘Jojina’, David Musa, aliyekuwa kiongozi wa bendi ya siku nyingi ya Safari Trippers hayajapoa, tasnia hiyo imempoteza mwanamuziki mwingine mkongwe, Kasongo Mpinda ‘Clayton’, aliyefariki juzi katika Hospitali ya Mwananyamala, Jijini Dar es Salaam, alikokuwa akisumbuliwa na maradhi ya kisukari na ganzi.
Mpinda alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Wazee Sugu, inayoongozwa na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Kasongo Mpinda hatunaye
NA VALERY KIYUNGU, DAR ES SALAAM
MWANAMUZIKI wa siku nyingi wa muziki wa dansi nchini, ambae alikuwa na Bendi ya Wazee Sugu inayoongozwa na nguli King Kikii, Kasongo Mpinda ‘Clayton’, amefariki dunia jana jioni.
Marehemu kabla kufikwa na umauti alikuwa mwanamuziki muimbaji wa kutumainiwa kwenye bendi hiyo kongwe, inayotamba na wimbo wa Kitambaa Cheupe. Mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam.
Kiongozi wa bendi ya Wazee Sugu King Kikii, amethibitisha ...
9 years ago
Michuzi
Tanzia: Mwanamuziki Kasongo Mpinda Clayton hatunaye tena

10 years ago
Michuzi
SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015 “DAR ONE"

10 years ago
AllAfrica.Com11 May
Massacres of 8 May 1945 Go Against Sense of History, Says Bouteflika
AllAfrica.com
Algiers — The massacres perpetrated by the French occupying forces on 8 May 1945 against the Algerian people constitute "one of the most painful chapter in our history as they go against the sense of the history, said Friday President of the Republic ...
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Stars yarejea kipigo cha 1945
10 years ago
GPL
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Safari ya Stars Morocco 2015
TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya Kocha Mholanzi, Martinus Ignatius "Mart" Nooij, inakabiliwa na mtihani mgumu wa kupigania tiketi ya kucheza fainali za Kombe la...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Safari ya Ukawa kwenda Ikulu 2015
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Urais 2015: Ukawa waanza safari