Tanzia: Mwanamuziki Kasongo Mpinda Clayton hatunaye tena
![](http://4.bp.blogspot.com/-9L_AdG8UoNg/Vl9MtGrNavI/AAAAAAAIJ3s/2elvoBIPC0M/s72-c/986b9bc1-6e20-4f55-8248-84ba4a9c3cfa.jpg)
Mwanamuziki Kasongo Mpinda Clayton (anayeimba) ametutoka leo jioni baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kasongo atakumbukwa kama mwimbaji mwenye sauti ya kipekee toka alipoibukia ghorofa ya saba pale New Africa Hotel jijini Dar es salaam akiwa na MK Group, wana Ngulupa Tupa Tupa na baadaye Maquis du Zaire 'Wana Kamanyola' akikonga nyoyo washabiki wa muziki, na baadaye Wazee Sugu chini ya King Kikii. Badhi ya nyimbo zilizompandisha chati Marehemu Kasongo ni 'SEYA' , 'ANGELOU', 'MUME WANGU...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Kasongo Mpinda hatunaye
NA VALERY KIYUNGU, DAR ES SALAAM
MWANAMUZIKI wa siku nyingi wa muziki wa dansi nchini, ambae alikuwa na Bendi ya Wazee Sugu inayoongozwa na nguli King Kikii, Kasongo Mpinda ‘Clayton’, amefariki dunia jana jioni.
Marehemu kabla kufikwa na umauti alikuwa mwanamuziki muimbaji wa kutumainiwa kwenye bendi hiyo kongwe, inayotamba na wimbo wa Kitambaa Cheupe. Mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Mwananyamala Jijini Dar es Salaam.
Kiongozi wa bendi ya Wazee Sugu King Kikii, amethibitisha ...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCuAcAt355vKgXV5yV1cqd7C576Q8CTsoNYzScmbJZ-wdudUbE7SXos-jA38IMC8xVdPxIFJiZLDsbADDTS4SgMQ/breakingnews.gif)
MWANAMUZIKI MKONGWE, SHEM IBRAHIM KARENGA HATUNAYE TENA
9 years ago
Mtanzania04 Dec
Safari ya Kasongo Mpinda 1945-2015
NA VALERY KIYUNGU
KABLA majonzi, vilio na masikitiko ya tasnia ya muziki kumpoteza mtunzi wa wimbo uliojizolea umaarufu mkubwa ‘Jojina’, David Musa, aliyekuwa kiongozi wa bendi ya siku nyingi ya Safari Trippers hayajapoa, tasnia hiyo imempoteza mwanamuziki mwingine mkongwe, Kasongo Mpinda ‘Clayton’, aliyefariki juzi katika Hospitali ya Mwananyamala, Jijini Dar es Salaam, alikokuwa akisumbuliwa na maradhi ya kisukari na ganzi.
Mpinda alikuwa mwanamuziki wa bendi ya Wazee Sugu, inayoongozwa na...
9 years ago
Dewji Blog16 Oct
Deo Filikunjombe hatunaye tena!
Aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo Ludewa, Mh Deo Filikunjombe akiwapungia wafuasi wake enzi za uhai.
Aliyekuwa mgombea Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM ), Mh Deo Filikunjombe amefariki dunia.
Mh Deo Filikunjombe amefikwa na umauti baada ya helkopta aliyokuwa amepanda kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea jimboni kwake kuanguka usiku wa kuamkia leo katika mbuga ya wanyama ya Selous.
Katika helkopta walikuwa watu wanne pamoja na rubani...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l2Y2-USpjRQ/VSTpf1yeFDI/AAAAAAAHPkQ/mOmvnRvO9Fw/s72-c/unnamed.jpg)
MPIGANAJI MWENZETU BERNARD RWEBANGILA HATUNAYE TENA
![](http://2.bp.blogspot.com/-l2Y2-USpjRQ/VSTpf1yeFDI/AAAAAAAHPkQ/mOmvnRvO9Fw/s1600/unnamed.jpg)
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMINA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8uIMQETlgtA/VPHdDl9ejfI/AAAAAAAHGjg/SotvEPG_RKs/s72-c/0L7C1990.jpg)
NEWS ALERT: KEPTENI JOHN KOMBA HATUNAYE TENA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8uIMQETlgtA/VPHdDl9ejfI/AAAAAAAHGjg/SotvEPG_RKs/s1600/0L7C1990.jpg)
Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Kepteni John Komba amefariki dunia jioni hii katika hospitali ya TMJ jijini Dar es salaam, mtoto wa Marehemu Bw. Herman Komba amethibitisha. Taarifa kamili za msiba huu zitafuata punde
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PlY8Cjladkk/U4kMVsJXHFI/AAAAAAAFmpU/t6Pnq-jMaA8/s72-c/TYSON.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ........: GEORGE TYSON HATUNAYE TENA,AFARIKI DUNIA AJALINI MKONI MOROGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-PlY8Cjladkk/U4kMVsJXHFI/AAAAAAAFmpU/t6Pnq-jMaA8/s1600/TYSON.jpg)
GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU HUU BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA KUTOKANA NA GARI WALIOLOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA MKOANI DODOMA KUJA DAR ES SALAAM,WAKITOKEA KWENYE HAFLA YA KUADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KIPINI CHA TELEVISHENI CHA THE MBONI SHOW,KUPINDUKA MARA KADHAA KUTOKANA NA KUPASUKA KWA MIPIRA...
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Tuzo ya clayton yamponza ester
Na Deogratius Mongela
KIHEREHERE! Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama hivi karibuni alijiponza baada ya kushambuliwa mtandaoni kisa kikiwa ni kumsifu muigizaji mwenzake wa kiume, Omary Clayton aliyeshinda tuzo ya kimataifa ijulikanayo kama California Online Viewers Choice.
Akipiga stori na gazeti hili, Ester alisema aliweka ujumbe na picha kwenye ukurasa wake wa Instagram kuipongeza filamu ya Dogo Masai kuchukua tuzo nje ya nchi sambamba na kumpongeza Omary, lakini kilichotibua hali ya hewa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jun
‘Mtoto wa boksi’ hatunaye
Mtoto Nasra Rashid (4) aliyefichwa katika boksi akiwa na umri wa miezi tisa, amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa ajili ya uchunguzi na matibabu. Taarifa za...