MWANAMUZIKI MKONGWE, SHEM IBRAHIM KARENGA HATUNAYE TENA
![](http://api.ning.com:80/files/4YilfwQJfCuAcAt355vKgXV5yV1cqd7C576Q8CTsoNYzScmbJZ-wdudUbE7SXos-jA38IMC8xVdPxIFJiZLDsbADDTS4SgMQ/breakingnews.gif)
Shem Ibrahim Karenga enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI mkongwe mwenye umahiri wa kuimba na kucharaza gitaa kiongozi la Solo, Shem Ibrahim Karenga amefariki dunia leo akiwa katika Hospitali ya Amana  jijini Dar es Salaam alipokuwa akitibiwa. Wengi wanamfahamu Shem Karenga kupitia tungo zake mbalimbali zilizochangia kumpa umarufu, alizozifyatua akiwa na bendi hizi na zile, kama vile ‘Tucheze Segere’,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZ: MWANAMUZIKI MKONGWE SHEM KARENGA AFARIKI DUNIA
Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini ,Shem Ibrahim Kalenga amefariki Dunia mapema leo katika hospitali ya Amana,Ilala Jijini Dar.Habari zilizotufikia zinaeleza kuwa mkongwe huyo amefariki hospitali ya Amana na kuwa msiba utakuwa nyumbani kwake Buguruni.Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho makaburi ya kisutu baada ya sala ya Alasiri
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI -AMINA
======= ====== ======= ========
SHEM IBRAHIM KARENGA ni mmoja...
10 years ago
GPLMAMIA WAJITOKEZA KUMZIKA MWANAMUZIKI SHEM KARENGA
10 years ago
Michuzi17 Dec
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-CkNW_6E2z-w/VI70EhgfHNI/AAAAAAAG3XA/r-pr0wDlHEA/s72-c/New%2BPicture.png)
BASATA YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MWANAMUZIKI MKONGWE SHEM KALENGA
![](http://3.bp.blogspot.com/-CkNW_6E2z-w/VI70EhgfHNI/AAAAAAAG3XA/r-pr0wDlHEA/s1600/New%2BPicture.png)
National Arts Council BASATA
![](file:///C:/Users/Michuzi/AppData/Local/Temp/msohtmlclip1/01/clip_image003.gif)
Yah: Salaam za RambirambiBaraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga
“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Shem Ibrahim Kalenga ambaye mchango wake katika muziki wa Dansi ni mkubwa mno na unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-9L_AdG8UoNg/Vl9MtGrNavI/AAAAAAAIJ3s/2elvoBIPC0M/s72-c/986b9bc1-6e20-4f55-8248-84ba4a9c3cfa.jpg)
Tanzia: Mwanamuziki Kasongo Mpinda Clayton hatunaye tena
![](http://4.bp.blogspot.com/-9L_AdG8UoNg/Vl9MtGrNavI/AAAAAAAIJ3s/2elvoBIPC0M/s640/986b9bc1-6e20-4f55-8248-84ba4a9c3cfa.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/W8k9GghxLBt--N07C*VdFIIeZWVBelfjQmR9mc5JaLd4cvqTW8LhAc-knC*JSGMOtC-sNF75jXbpLtmcyP9SJcmyKE4uFwDM/1mazishiyakarenga2.jpg?width=650)
SHEM KARENGA AZIKWA MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
GPLSHEM KARENGA KUZIKWA LEO MAKABURI YA KISUTU, DAR
10 years ago
Vijimambo17 Dec
10 years ago
Michuzi15 Dec
UPDATES: MSIBA WA MAREHEMU SHEM KARENGA WAHAMISHIWA MTAA WA UFIPA, KINONDONI, DAR ES SALAAM
MIPANGO YA MAZISHI INABAKI PALEPALE YAANI KESHO MAREHEMU ATASWALIWA KATIKA MSIKITI WA MANYEMA, KARIAKOO, BAADA YA SWALA YA ALASIRI NA KISHA KUELEKEA MAKABURI YA KISUTU KWA MAZISHI>