Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAID MECKY SADICK AONGOZA KUAGA MWILI WA TYSON

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick akiaga mwili wa marehemu George Otieno 'Tyson' katika Viwanja vya Leaders, Dar. Said Mecky Sadick wakati akielekea kuaga mwili wa Tyson.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Sitta aongoza kuaga mwili wa Kihwele

Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WAZIRI wa Uchukuzi, Samuel Sitta jana ameongoza wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Reli (TRAWU), Erasto Kihwele aliyefariki dunia Aprili 17 mwaka huu.
Marehemu Kihwele aliagwa na mamia ya watu katika ukumbi wa TAZARA ambako huzuni na vilio vilitawala.
Akizungumza wa kutoa salamu za rambirambi,Waziri Sitta alisema alimfahamu Kihwele muda mfupi.
Alisema enzi za uhai wake,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Membe, Mecky Sadick waivulia kofia Yanga

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikino wa Kimataifa, Benard Membe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick, wamewapongeza wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya klabu...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MTIKILA

Rais Kikwete aongoza mamia kuaga mwili wa marehemu Mchungaji ChristopherMtikila Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Jumatatu Oktoba 7, 2015

 

10 years ago

StarTV

Lowassa aongoza mamia kuaga mwili wa Makaidi Dar.

Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anayeungwa Mkono na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA , Edward Lowassa ameongoza mamia ya wakazi wa Jiji la Dar Es Salaam kuuaga Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NLD na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Dkt Emmanuel Makaidi.

Marehemu Emmanuel Makaidi alifariki Dunia Octoba 15 katika Hospitali ya Nyagao iliyopo Mkoani Lindi alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu.

Katika...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete aongoza kuaga mwili wa Mwakapugi Dar

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Arthur Mwakapugi tayari kwa ajili ya kusafirishwa leo kwenda kuzikwa kijijini kwake Ilundo, Wilaya ya Tukuyu mkoani Mbeya.

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU TUPPA

Viongozi Dini wakiongoza ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma,aliefariki ghafa siku kadhaa zilizopita. Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa Mwili wa Marehemu John Gabriel Tupa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na hapo awali aliwahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

JK aongoza mamia kuaga mwili wa Capt. John Komba Karimjee leo

DSC_0003

Kada wa CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwiru akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa wakati shughuli za kutoa heshima za mwisho msiba wa Captain John Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.

DSC_0021

Rais mtsaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mzee Kingunge alipowasili kwenye viwanja hivyo.

DSC_0026

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) akiteta jambo na Mwenyekiti Mtendaji wa makapuni ya IPP, Dkt....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani