Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sakata la Flora Mbasha linatulazimisha kujiuliza maswali na kujichunguza

SUALA la Flora Mbasha na mume wake lina sehemu nyingi ambazo unaweza kuziangalia na kutolea maoni. Hata hivyo, naamini kubwa ni tatu ambazo ziko juu na rahisi kuonekana. Suala la...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -2

Somo letu linahusu maswali ya kujiuliza kabla ya kuchukua uamuzi wa kuachana au kupeana talaka (kwa wanandoa). Binadamu si kama mbuzi, kwa maana hiyo wanapokutana, kunakuwa na sababu ya kukutana kwao, hivyo haitakiwi kuamua kuachana bila angalizo. Wiki iliyopita nilikupa utangulizi unaojitosheleza kiufafanuzi, leo utaanza kujifunza au kujiongezea elimu kuhusu maswali 10 ambayo ama yanaweza kukufanya urudi nyuma na kuendelea...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA(TALAKA)-4

Mapenzi ni wewe mwenyewe unavyojiweka. Kuna makosa mengi yamekuwa yakitokea katika kuachana na kusababisha majuto ya baadaye. Makala haya lengo lake ni kukutaka kabla ya kuachana, ni vizuri kujiuliza maswali ambayo ama yatakufanya ujirudi na kuujenga upya uhusiano wako au kuachana ukiwa na hoja za msingi. Kwa kuendelea tulipoishia wiki iliyopita ni kuwa elimu sahihi ya utatuzi wa migogoro ya kimapenzi na uhusiano inatoa muongozo...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -5

Mada yetu kuhusu maswali ya kujiuliza kabla ya kuachana inaendelea! Ina maana kubwa sana endapo utaelewa hoja zake na kuamua kuzifanyia kazi. Nilishaeleza mwanzoni kuwa uhusiano wowote huanza kwa furaha na matarajio mengi. Siku zinavyokwenda mambo hubadilika. audhi yanapochukua nafasi hufanya tamu kugeuka shubiri. Wanafasihi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ waliimba katika wimbo wao Sumu ya Mapenzi kwamba...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -6

Hoja ya msingi hapa ni kwamba kabla ya kuachana lazima ujiulize maswali 10 yenye maana kubwa. Makala haya, yanakuelekeza maswali hayo kwa sababu yanaweza kuwa mwarobaini wa mgogoro unaowatesa badala ya kuongozwa na hisia pamoja na mihemko ya hasira. Wiki iliyopita tuliishia hapa kwenye kipengele cha tano ambacho kinahusu swala la utambuzi wa tofauti ya kinsia. Ukweli ni kwamba hutatambua tofauti yako na ya mwenzio kimaumbile,...

 

10 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) - 9

Tunaendelea na mada yetu ya maswali 10 ya kujiuliza kabla ya kuachana (talaka).  Tumalizie  makala haya tuliyoyanza wiki  nane zilizopita: Inapotokea kweli ulimkosea na uliomba msamaha na ukajirekebisha lakini bado mwenzi wako ana kinyongo, hakikisha unafanyia kazi hili suala. Vilevile kama ni wewe ndiye unashindwa kusamehe, tuliza akili na upitishe msamaha wako. Kwa mantiki hiyo, kabla ya kusimamia uamuzi wa kuachana,...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -3

Wiki iliyopita nilikupa swali la kwanza ambalo ni muhimu sana kujiuliza. “Je, umefanya kila linalowezekana kuiokoa ndoa/uhusiano wako?” Msingi wa kuamua kuachana na mwenzio, unapaswa kujengwa kwanza baada ya jawabu la swali hili. Lazima ufanye kila linalowezekana kuulinda uhusiano wako. Kama umejiuliza swali hilo na jibu linakuwa hapana, basi anza kutekeleza lolote linalowezekana. Uhusiano wa kimapenzi lazima...

 

11 years ago

GPL

MASWALI 10 YA KUJIULIZA KABLA YA KUACHANA (TALAKA) -7

Ni matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku kama kawaida.
Ni wiki nyingine tunakutana hapa tukizungumzia mambo muhimu sana yanayogusa maisha yetu hasa ya kimapenzi. Kwa wale ambao ni mara ya kwanza wanatupia macho kwenye ukurasa huu, hoja inayoendelea ni kwamba, kabla ya kuachana na mtu ambaye ni sehemu ya maisha yako lazima ujiulize maswali 10.
Lengo hasa la kukuletea maswali haya ni...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani