Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SALA KWA WATANZANIA YAFANYWA WESTMINSTER ABBEY, LONDON

Na Freddy Macha
Alhamisi  jioni, Wazalendo na marafiki zao walishiriki misa maalum ya kuiombea Tanzania  ndani ya kanisa mashuhuri  la Westminster Abbey kuadhimisha miaka 50 ya muuungano.
Misa hizi hutayarishwa kila mwaka kwa heshima ya nchi za Jumuiya ya Madola.  Mgeni rasmi alikuwa Balozi wetu Uingereza Mheshimiwa Peter Kallaghe, maofisa  ubalozini na wawakilishi wa Jumuiya ya Uingereza na Tanzania (British-Tanzania Society)....
Kwaya ya Chuo cha Lancing, iliimba nyimbo za kizamani za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBC

Mandela service at Westminster Abbey

A memorial service to celebrate the life of former South African President Nelson Mandela takes place at Westminster Abbey in the UK.

 

11 years ago

Michuzi

Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala, Dar es salaam

Semi- finished houses for SALE at Kunduchi Sala Sala in Dar es salaam, from Tshs.110 Million. Only 200 metres from tarmac road (lami). Middle class neighborhood. Zipo kwenye maeneo ni ya kishua. Call 0717 939 293 or email tinogobba2002@yahoo.com

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA IBADA NA SHEREHE YA KUSIMIKWA {ORDINATION} KWA NDUGU YETU MOSES SHONGA JIJINI LONDON

Usharika wa St Anne’s Lutheran church unapenda kuwakaribisha wote kwenye ibada na sherehe ya kusimikwa (ordination) kuwa Mchungaji ndugu yetu Moses Shonga (pichani). 
Sherehe itaanza saa nane mchana (2.00pm) na kufuatia na sherehe pamoja na vyakula na vinywaji baada ya ibada. Nyote mnakaribishwa.


Anuani ni:

St Anne’s Lutheran church St Mary at Hill church


Lovat lane Eastcheap London EC3R 8EE


Kituo cha karibu ni monument tube station.


Mnakaribishwa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda azungumza na Watanzania London

PG4A5022

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akitia saini kitabu cha wageni baada ya  kuwasili kwenye  ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini London kabla ya kuzungumza na watanzania Julai 11, 2014. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini  Uingereza, Carol Chipeta. (Picha na Ofisi  ya Waziri Mkuu).

PG4A5031

 Baadhi ya Watanzania waliohudhuria mkutano kati yao na  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo mjini Londoni Julai  11, 2014...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe na Binti wa Balozi huyo, Rebecca (katikati) kwenye makazi ya Balozi huyo eneo la Highgate, Londondoni Aprili 11, 2015.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye...

 

9 years ago

Michuzi

Watanzania London washerehekea ushindi wa Dkt. Magufuli

Vijana wa Kitanzania jijini London wakisherehekea ushindi wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Mgufuli jijini humo usiku wa kuamkia leo.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MH. PINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watanzania waishio Uingereza kwenye makazi ya Balozi wa Tanzania nchini humo, Aprili 11, 2015. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe. Mtoto Tobias Kallaghe ambaye ni mtanzania anayeishi na wazazi wake nchini Uingereza akisamasasoti nyumbani kwao, eneo la High gate London Aprili 11, 2015. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Peter Kallaghe na Binti wa Balozi huyo, Rebecca...

 

9 years ago

Mwananchi

Watanzania wakutana kumsikiliza Lady Jaydee, London

Kwa Kiingereza ni chemchemi iliyoko jangwani. Penye ahueni na raha kidogo katikati ya tabu na mashaka. Na ndilo jina la ukumbi aliotumbuiza mwanamuziki Lady JayDee jijini London Jumamosi iliyopita. Ujio wake ulitangazwa na kampuni mpya yenye jina la Kiswahili na Kiingereza: “Upendo Events.” Mwasisi wake ni Frank Leo, aliyekuja kusoma Uingereza akaamua kupafanyia maskani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani