Watanzania wakutana kumsikiliza Lady Jaydee, London
Kwa Kiingereza ni chemchemi iliyoko jangwani. Penye ahueni na raha kidogo katikati ya tabu na mashaka. Na ndilo jina la ukumbi aliotumbuiza mwanamuziki Lady JayDee jijini London Jumamosi iliyopita. Ujio wake ulitangazwa na kampuni mpya yenye jina la Kiswahili na Kiingereza: “Upendo Events.†Mwasisi wake ni Frank Leo, aliyekuja kusoma Uingereza akaamua kupafanyia maskani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi01 Dec
Lady JayDee Ndani ya London
![Bango la shoo ya 5 Desemba 2015](https://kitoto.files.wordpress.com/2015/12/bango-la-shoo-ya-5-desemba-2015.jpg)
9 years ago
Mwananchi06 Sep
KUTOKA LONDON : Wakenya wakutana London kuitangaza nchi yao inayozidi kupendwa majuu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bdOTGlbNKtoru51-3*wTKvOI2nMYKOVO5H16wt3uo5SNkCtApx68EEDmzfoR1r77YrlM5Rc8J04-VTl390qLAvmIoojRRtog/JIDE.jpg)
NDINGA MPYA YA LADY JAYDEE
10 years ago
VijimamboLady Jaydee - Forever (New Single)
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
10 years ago
Mtanzania15 May
Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia
NA RHOBI CHACHA
MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.
Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...
10 years ago
Bongo517 Mar
New Video: Jaya f/ Lady Jaydee — Sasa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJLclRY0NH2xd9E8HHz75BLOctE7eQu8NGUgjbTnFYYYzCNE9pCd60yoUFhyLz7jayYx*XP5mAWHtJUVobl9xEQt/e.jpg?width=650)
LADY JAYDEE AJICHAGULIA JENEZA LA PILI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycP5GbzAyNxVqcW2*jACB*HRBg2Xgck4XEpjxcOaqPOw5tY5OKMKN0BqWRIfSuDoyOgf3ywWmZXj9b65EYxLTADK/10482187_779139562134174_3005228999998359638_n.jpg?width=650)
10 years ago
Mwananchi24 Nov
Lady Jaydee: Ni wakati wangu sasa
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10