Salam za Heri ya Siku ya "WANAWAKE DUNIANI" kutoka Ngoma Africa Band

Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu"HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) "
Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
11 years ago
Michuzi.jpg)
SALAM ZA HERI YA "MEI MOSI" KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
.jpg)
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
www.facebook.com/ngomaafricaband
11 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR. JAKAYA KIKWETE

11 years ago
Vijimambo
NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR.JAKAYA KIKWETE

11 years ago
GPLSALAM ZA MEI MOSI KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
Michuzi.jpg)
SALAM ZA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
HERI YA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

11 years ago
GPL
SALAMU ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
10 years ago
Vijimambo11 Jan
HERI YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

