NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR.JAKAYA KIKWETE

Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inampa salam za heri ya siku ya kuzaliwa Rais Dr.Jakaya Kikwete,bendi hiyo yenye makao kule ujerumani inamtakia kila la heri,afya bora na maisha marefu Mheshimiwa Rais Dr.Jakaya Kikwete ambaye pia Amri jeshi mkuu.Happy Birth day Mhe.Rais J.K.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR. JAKAYA KIKWETE

11 years ago
Michuzi
Salam za Heri ya Siku ya "WANAWAKE DUNIANI" kutoka Ngoma Africa Band

Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee! sikiliza muziki na burudani...
11 years ago
Michuzi
SALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND

ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
11 years ago
Michuzi.jpg)
SALAM ZA HERI YA "MEI MOSI" KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
.jpg)
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
www.facebook.com/ngomaafricaband
11 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !

Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
9 years ago
Michuzi
NGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA

11 years ago
GPL
HERI YA KUZALIWA MH. JAKAYA KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. LEO ni siku ya Kuzaliwa Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizaliwa tarehe 7 Oktoba, 1950 kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani katika iliyokuwa inaitwa Tanganyika. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Msoga kati ya mwaka 1958 na 1961. Baada ya hapo alihamia...
10 years ago
Michuzi.jpg)
SALAM ZA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPLSALAM ZA MEI MOSI KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU-Ughaibuni, yenye makao yake kule Ujerumani inatoa salamu maalum za Siku ya Wafanyakazi Duniani "MEI MOSI" a.k.a May Day. Ngoma Africa Band itawatakia kila la heri wadau wote duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Mei Mosi hapo kesho!
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania