NGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR. JAKAYA KIKWETE
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inampa salam za heri ya siku ya kuzaliwa Rais Dr. Jakaya Kikwete, bendi hiyo yenye makao kule ujerumani inamtakia kila la heri,afya bora na maisha marefu Mheshimiwa Rais Dr.Jakaya Kikwete ambaye pia Amri jeshi mkuu. Happy Birth day Mhe.Rais J.K.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNGOMA AFRICA BAND YATOA SALAM ZA HERI YA SIKU YA KUZALIWA RAIS DR.JAKAYA KIKWETE
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band aka FFU-ughaibuni inampa salam za heri ya siku ya kuzaliwa Rais Dr.Jakaya Kikwete,bendi hiyo yenye makao kule ujerumani inamtakia kila la heri,afya bora na maisha marefu Mheshimiwa Rais Dr.Jakaya Kikwete ambaye pia Amri jeshi mkuu.Happy Birth day Mhe.Rais J.K.
11 years ago
MichuziSalam za Heri ya Siku ya "WANAWAKE DUNIANI" kutoka Ngoma Africa Band
Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu"HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) "
Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee! sikiliza muziki na burudani...
Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee! sikiliza muziki na burudani...
11 years ago
MichuziSALAM ZA HERI YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Bend maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "NGOMA AFRICA BAND" aka FFU Ughaibuni,yenye makao yake kule nchini Ujerumani,inaungana na watanzania wote nyumbani na ughaibuni katika kusherehekea "MIAKA 50 YA MUUNGANO WA TANZANIA",Ngoma Africa band inatoa salam
za heri na shangwe kwa watanzania wote popote duniani.
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
ZIDUMU FIKRA ZA WAASISI WA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR = TANZANIA
UDUMU UMOJA WA KITAIFA
UDUMU...
11 years ago
MichuziSALAM ZA HERI YA "MEI MOSI" KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU-Ughaibuni, yenye makao yake kule ujerumani inatoa salam maarumu za siku ya wafanyakazi duniani "MEI MOSI" aka May Day,
Ngoma Africa band itawatakia kila la heri wadau wote duniani kwa kusherehekea sikukuu ya Mei Mosi
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
www.facebook.com/ngomaafricaband
Tafadhali pata burudani ya muziki at www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
www.facebook.com/ngomaafricaband
10 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND YAITAKIA MSONDO NGOMA BAND HERI YA MIAKA 50 !
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, The Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni almarufu pia kama viumbe wa ajabu Anunnaki Aliens wenye makao nchi Ujerumani, inatuma salamu na saluti za kuitakia heri ya miaka 50 bendi kongwe barani afrika MSONDO NGOMA MUSIC BAND aka Baba ya Muziki ya watanzania ambayo mwezi Oktoba 2014 itatimiza miaka 50 na kuweka rekodi ya kuwa bendi kongwe pekee barani Afrika !
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
Kiongozi wa Ngoma Africa band Kamanda Ras Makunja, anaitaja bendi ya Msondo Ngoma ndiyo...
9 years ago
MichuziNGOMA AFRICA BAND INAWATAKIA HERI YA SIKUU YA MAULID NA HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya The Ngoma Africa Band aka FFU-ughaibuni inayoongozwa na Kamanda Ras Makunja yenye maskani nchini ujerumani inawatakieni kila la heri katika siku kuu ya Maulid el Nabii Muhammad(S.W.A) pia Heri ya siku kuu ya Krismasi kwa wadau wote iwena amani,upendo,furaha na mshikamano bila kusahau kupata muziki at www.ngoma-africa.com au www.reverbnation.com/ngomaafricabandjumuika nao at www.facebook.com/ngomaafricaband
10 years ago
GPLHERI YA KUZALIWA MH. JAKAYA KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. LEO ni siku ya Kuzaliwa Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizaliwa tarehe 7 Oktoba, 1950 kijiji cha Msoga kilichopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani katika iliyokuwa inaitwa Tanganyika. Alipata elimu ya msingi katika shule ya msingi Msoga kati ya mwaka 1958 na 1961. Baada ya hapo alihamia...
10 years ago
MichuziSALAM ZA MWAKA MPYA 2015 KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band a.k.a FFU-Ughaibuni a.k.a "watoto wa mbwa" au viumbe wa ajabu "Anunaki anunnaki aliens" yenye makao yake nchini Ujerumani, inatoa Salam za heri ya mwaka mpya 2015 kwa wadau wote popote pale mlipo,mwaka mpya 2015 uwe wa mafanikio ,Amani na Upendo kwa wote. HAPPY NEW YEAR 2015 ! HAPPY NEW YEAR 2015 ! msikose burudani kamili bofya www.ngoma-africa.com.moja ya show za Ngoma Africa band nchini Ujerumani.
11 years ago
GPLSALAM ZA MEI MOSI KUTOKA NGOMA AFRICA BAND
BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya "Ngoma Africa Band" a.k.a FFU-Ughaibuni, yenye makao yake kule Ujerumani inatoa salamu maalum za Siku ya Wafanyakazi Duniani "MEI MOSI" a.k.a May Day. Ngoma Africa Band itawatakia kila la heri wadau wote duniani katika kusherehekea Sikukuu ya Mei Mosi hapo kesho!
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania