Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Salasala wachachamaa

Wananchi wa Salasala Mbuyuni, Kata ya Wazo wilayani Kinondoni wamepinga uamuzi wa serikali yao ya mtaa kumpa kibali mwekezaji na kusababisha Barabara ya Livingstone, iliyokuwa ikitumika kwa miongo miwili, kushindwa kupitika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ulanga wachachamaa

WANANCHI wa Tarafa ya Malinyi Wilayani ya Ulanga mkoani Morogoro, wametaka kufahamu hatua zilizochukuliwa na Serikali baada ya mauaji ya kupigwa risasi kwa raia yanayodaiwa kufanywa na askari watatu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge Dar wachachamaa

Wabunge wa Jiji la Dar es Salaam, Iddi Azzan (Kinondoni) na Abas Mtemvu (Temeke) wameitaka Serikali ikusanye kodi ya pango katika jiji hilo ili kuongeza mapato yake na kuachana na utamaduni wa kutegemea mapato katika soda, bia, sigara na vinywaji vikali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalala ajisalimisha Best Records Salasala

MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Komandoo Hamza Kalala anatarajia kurekodi vibao vipya, baada ya kuingia katika studio ya  Best Records ya Salasala, jijini Dar es Salaam huku akiahidi...

 

9 years ago

Michuzi

BOMOBOMOA SALASALA ILI KUPISHA UJENZI WA BOMBA LA MAJI -RUVU CHINI

  Na Eleuteri Mangi-MAELEZOZoezi la kubomoa nyumba na majengo yaliyoingia ndani ya ya hifadhi ya miundombinu ya bomba la maji kutoka Ruvu Chini limeendelea mwishoni mwa wiki ili kuhakikiha kunakuwepo usalama wa bomba hilo na kuwapatia wakazi wa jiji la Dar es salaam na maeneo ya mkoa wa Pwani uhakika wa maji ifikapo Februari, 2016.  Bomo bomoa hiyo ya mwishoni mwa wiki ilihusisha maeneo ya Salasala ambapo baadhi ya nyumba, karakana na uzio vyote viljengwa ndani ya hifadhi ya miundombinu hiyo...

 

10 years ago

GPL

SALASALA VISION GROUP WAKABIDHIWA HATI ZA HEKARI 250 HUKO FUKAYOSI BAGAMOYO

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group Iman Kajula Wa Pili (kushoto) akipokea hati ya Kimila ya eneo walillonunua bagamoyo kwajili ya Jumuiya hiyo.  Jumuiya iliyoasisiwa na wakazi wa Kilima hewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Salasala Vision Group wakabidhiwa hati za hekari 250 huko Fukayosi Bagamoyo na kuzindua tovuti

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group, Iman Kajula Wa Pili (kushoto) akipokea hati ya Kimila ya eneo walilonunua bagamoyo kwajili ya Jumuiya hiyo.

Jumuiya iliyoasisiwa na wakazi wa Kilima hewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na kulinda maeneo ya wazi, Ulinzi, kutengeneza gari la polisi na misaada ya...

 

10 years ago

Michuzi

SALASALA VISION GROUP WAKABIDHIWA HATI ZA HEKARI 250 HUKO FUKAYOSI BAGAMOYO PIA YAZINDUA TOVUTI

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group Iman Kajula (wa pili kulia) akipokea hati ya Kimila ya eneo walilolonunua eneo la Fukayosi, Bagamoyo,  kwa ajili ya Jumuiya hiyo iliyoasisiwa na wakazi wa Kilimahewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na kulinda maeneo ya wazi, Ulinzi, kutengeneza gari la polisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Godzilla wa Sengerema amuibukia Godzilla wa Salasala kwa madai ya kuibiwa jina

IMG_0860

Picha ni msanii wa nyimbo za Bongo flava, Godfrey Ally kutoka Kanda ya Ziwa anayemshutumu Godzilla wa Salasala kamwibia jina lake.

Na Daniel Makaka, Sengerema

Msanii wa nyimbo za Bongo flava, Godfrey Ally kutoka Kanda ya Ziwa, mwenye makazi yake kijiji cha Bupandwa Kata ya Bupandwa wilayani Sengerema Mkoani Mwanza ameibuka na kusema kuwa aliibiwa jina hilo  na msanii maarufu wa Hip Hop, kutoka Salasala,  Golden Mbunda  “ Godzilla”  ambaye msanii huyo anajiita hivyo.

Akizungumza na mwandishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani