Wabunge Dar wachachamaa
Wabunge wa Jiji la Dar es Salaam, Iddi Azzan (Kinondoni) na Abas Mtemvu (Temeke) wameitaka Serikali ikusanye kodi ya pango katika jiji hilo ili kuongeza mapato yake na kuachana na utamaduni wa kutegemea mapato katika soda, bia, sigara na vinywaji vikali.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Aug
Ulanga wachachamaa
WANANCHI wa Tarafa ya Malinyi Wilayani ya Ulanga mkoani Morogoro, wametaka kufahamu hatua zilizochukuliwa na Serikali baada ya mauaji ya kupigwa risasi kwa raia yanayodaiwa kufanywa na askari watatu wa...
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Salasala wachachamaa
11 years ago
Habarileo13 May
RC awapa somo wabunge wa Dar
WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuacha siasa chafu zinazochochea kukwamisha utekelezaji wa ‘Operesheni Safisha Jiji’ inayoendelea .
10 years ago
Habarileo15 May
Wabunge Dar wajipanga kumkwamisha Magufuli
MBUNGE wa Temeke, Abbas Mtemvu (CCM), amesema wabunge wa Dar es Salaam wanasubiri makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ili waikwamishe, kutokana na kutotimiza ahadi ilizotoa kwa mkoa huo.
10 years ago
Habarileo14 Jan
Wabunge wataka jiji Dar es Salaam livunjwe
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imehoji kwanini halmashauri ya jiji la Dar es Salaam isivunjwe na kuwa na kitengo kidogo kutokana na kutokuwa na majukumu ya moja kwa moja kwa wananchi.
10 years ago
Mtanzania16 Jan
Wabunge:Dar hatarini kuteketea kwa moto
SHABANI MATUTU NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
KAMATI ya Nishati na Madini, imeonyesha hofu juu ya Jiji la Dar es Salaam kuteketea kwa moto, kutokana na uwezekano wa kulipuka kwa mabomba ya kusafirishia mafuta kunakochangiwa na wizi wa mafuta unaohusisha utoboaji wa mabomba hayo.
Kutokana na hali hiyo, wabunge wametaka vyombo vya ulinzi, hususan Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wapewe jukumu la kulinda miundombinu ya kusafirishia mafuta, huku baadhi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-l6IkJINKnPM/XrJ3plV1uqI/AAAAAAALpSk/hl-tkRBRS5ggLzGYQg6Y85YkNuAx5SaYgCLcBGAsYHQ/s72-c/6ae59f1f-f863-4a7d-afa6-930d17f5b600.jpg)
WABUNGE WAZURURAJI KUONDOSHWA DAR BAADA YA SAA 24.
![](https://1.bp.blogspot.com/-l6IkJINKnPM/XrJ3plV1uqI/AAAAAAALpSk/hl-tkRBRS5ggLzGYQg6Y85YkNuAx5SaYgCLcBGAsYHQ/s640/6ae59f1f-f863-4a7d-afa6-930d17f5b600.jpg)
RC Makonda amesema Mbunge anaepaswa kuwa Dar es salaam ni yule mwenye Kibali au Ruhusa ya Spika wa Bunge tofauti na hapo ni vyema wakafunga virago vyao na kurudi Bungeni ili kuepuka kukamatwa.
"Hakuna...
10 years ago
StarTV23 Feb
CCM Dar yawataka wabunge wake kuelimisha wananchi
Na Grace Semfuko,
Dar es Salaam.
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam kimewataka wabunge wa Mkoa huo kupitia CCM kutoa elimu kwa wakazi wake kuhusiana na masuala ya kijamii yaliyomo kwenye Katiba inayopendekezwa ili wakazi hao waweze kuipigia kura bila kuwa na kikwazo chochote.
Katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar Es Salaam wajumbe wake wamesema hatua hiyo itawawezesha wakazi wengi kuipigia kura Katiba hiyo ili hatimaye iweze kupita na kutumika kama Katiba mama ya...
10 years ago
StarTV28 May
Ujenzi Jijini Dar, baadhi wa Wabunge wailalamikia serikali.
Na Blaya Moses,
Dodoma.
Baadhi ya wabunge wameitaka serikali kuzingatia maagizo ambayo yamekuwa yakitolewa na wabunge hususani suala la kutoendeleza ujenzi wa majengo makubwa katika jiji la Dar Es Salaam ili kupunguza msongamano ambao umekuwa ukileta hasara ya zaidi ya shilingi bilioni nne.
Aidha wabunge hao wameigiza wizara ya fedha kumaliza madeni ya wakandarasi kutokana na madeni hayo kuwa sugu na kuanza kusababisha vifo miongoni mwa wakandarasi kutokana na msongo wa mawazo juu ya...