Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SALASALA VISION GROUP WAKABIDHIWA HATI ZA HEKARI 250 HUKO FUKAYOSI BAGAMOYO PIA YAZINDUA TOVUTI

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group Iman Kajula (wa pili kulia) akipokea hati ya Kimila ya eneo walilolonunua eneo la Fukayosi, Bagamoyo,  kwa ajili ya Jumuiya hiyo iliyoasisiwa na wakazi wa Kilimahewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na kulinda maeneo ya wazi, Ulinzi, kutengeneza gari la polisi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Salasala Vision Group wakabidhiwa hati za hekari 250 huko Fukayosi Bagamoyo na kuzindua tovuti

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group, Iman Kajula Wa Pili (kushoto) akipokea hati ya Kimila ya eneo walilonunua bagamoyo kwajili ya Jumuiya hiyo.

Jumuiya iliyoasisiwa na wakazi wa Kilima hewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na kulinda maeneo ya wazi, Ulinzi, kutengeneza gari la polisi na misaada ya...

 

10 years ago

GPL

SALASALA VISION GROUP WAKABIDHIWA HATI ZA HEKARI 250 HUKO FUKAYOSI BAGAMOYO

Afisa Mtendaji Mkuu EAG Group Iman Kajula Wa Pili (kushoto) akipokea hati ya Kimila ya eneo walillonunua bagamoyo kwajili ya Jumuiya hiyo.  Jumuiya iliyoasisiwa na wakazi wa Kilima hewa Salasala jijini Dar es salaam likiwa na malengo ya kijamii na kiuchumi. Tangu kuasisisiwa SVG imetekeleza miradi Mingi kwenye eneo la Salasala ikiwemo kupanda miti zaidi ya 5,000, kutengeneza barabara, kutengeneza viwanja vya michezo na...

 

10 years ago

GPL

FACEBOOK YAZINDUA TOVUTI YA MESSENGER

Muonekano wa tovuti ya Messenger katika kompyuta na simu. UNAKUMBUKA mtandao wa Facebook ulipowalazimisha watumiaji wake kupakua (download) huduma ya Messenger kwa ajili ya simu za mkononi mwaka jana? Sasa Facebook imezindua tovuti ya huduma yake ya Messenger ambayo ni www.messenger.com. Tovuti hiyo itakuwa na kiwambo kwa kikubwa (full-screen) itakayoonyesha mawasiliano ya watumiaji na itamwezesha mtumiaji kuweka dondoo...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA SIMBA YAZINDUA TOVUTI YAKE

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Tovuti ya klabu hiyo www.simbasports.co.tz jijini Dar es Salaam. Wengine ni Makamu wa rais, Geofrey Nyange Kaburu (kushoto waliosimama) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula ambaye ni  washauri watekerezaji wa Biashara na Masoko wa Simba. (Picha na Francis Dande)Rais wa Klabu ya Simba, Evance Aveva akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya...

 

11 years ago

Michuzi

Kampuni ya Bhakresa Group wakabidhiwa funguo za fuso 8 mpya

Meneja wa Usafirishaji wa Kampuni ya Azam,Bw. Omari Said (kushoto) akipokea funguo za Fuso mpya kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Diamond Motors,Bw. Vikram Verma wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.anayeshuhudia Katikati ni Meneja Mkuu wa Diamond Motors,Bw. Martin Laurian. Sehemu ya Fuso hizo.
Kampuni ya Bakhresa Group - maarufu kwa jina la Azam – ni kampuni ya kwanza ya wateja wa muda mrefu wa Diamond Motors (Hansa) kuthibitisha kuagiza Fuso...

 

10 years ago

TheCitizen

South Sudan rebel group frees 250 child soldiers: UN

Geneva. A South Sudanese rebel group has freed 250 child soldiers including a girl as young as nine, the UN children’s agency said on Sunday, but warned that thousands were still being forced to fight.

 

10 years ago

GPL

BAYPORT FINANCIAL SERVICES YAZINDUA TOVUTI YA MIKOPO YA HARAKA

Msimamizi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao kulia akipata  maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya mtandao Online) wa Bayport Financial Services, Zainabu Kalufya, katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao kwa www.kopabayport.co.tz, uzinduzi uliofanyika leo Makao Makuu ya Bayport, jijini Dar es Salaam. Mteja atakayekopa kwa njia ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Royal Women Group wakabidhi msaada wa madawati 50 na vitabu 250 kwa Shule ya Msingi Bombambili

- Waliguswa na wanafunzi kusoma wakiwa wamekaa chini- Meya Silaa apokea vifaa hivyo na kutaka wengine kuiga mfano wa RWG- Shule bado ina upungufu wa madawati 100, - Vyumba 7 zaidi vya madarasa vyahitajika na matundu 24 ya vyoo- Shule pia haina nyumba hata moja ya mwalimuMeya wa Manispaa ya Kinondoni, Jerry Silaa, amewataka Watanzania kwa ujumla kuacha mambo ya siasa katika masuala ya maendeleo, ikiwa ni pamoja na kulalamika bila kushiriki kuisaidia serikali yao.Ameyasema hayo wakati...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hati ya ujenzi wa Bagamoyo yatiwa saini China

Jakaya-Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na taasisi mbili kubwa za kimataifa jana, Jumapili, Oktoba 26, 2014, zilitiliana saini Hati ya Makubaliano (MOU) ya kuendeleza kwa pamoja Eneo la Kiuchumi la Bagamoyo ambako pia itajengwa bandari kubwa ya Bagamoyo ambayo inatarajiwa kutoa mchango mkubwa kwa uchumi wa Tanzania.

Pande hizo tatu ambazo ni pamoja na Kampuni ya Uendeshaji Bandari ya China Merchant Holding...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani