TIMU YA SIMBA YAZINDUA TOVUTI YAKE
Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa Tovuti ya klabu hiyo www.simbasports.co.tz jijini Dar es Salaam. Wengine ni Makamu wa rais, Geofrey Nyange Kaburu (kushoto waliosimama) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula ambaye ni washauri watekerezaji wa Biashara na Masoko wa Simba. (Picha na Francis Dande)
Rais wa Klabu ya Simba, Evance Aveva akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa Tovuti ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-0Yyk009ZblE/VYgTRJcPFJI/AAAAAAAAHa4/L7TAkPmN5ig/s72-c/wEB1.jpg)
SIMBA SPORT CLUB WAZINDUA TOVUTI YAKE
![](http://1.bp.blogspot.com/-0Yyk009ZblE/VYgTRJcPFJI/AAAAAAAAHa4/L7TAkPmN5ig/s640/wEB1.jpg)
Akizungumza wakati wauzinduzi huo Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Katika dunia na zama...
10 years ago
GPLFACEBOOK YAZINDUA TOVUTI YA MESSENGER
10 years ago
GPLBAYPORT FINANCIAL SERVICES YAZINDUA TOVUTI YA MIKOPO YA HARAKA
10 years ago
MichuziSALASALA VISION GROUP WAKABIDHIWA HATI ZA HEKARI 250 HUKO FUKAYOSI BAGAMOYO PIA YAZINDUA TOVUTI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3XoHDWc4q4Q/XmZAgyra22I/AAAAAAALiQE/JytjH8gDpvc4ycFivZiVxyDDvYXQE9McQCLcBGAsYHQ/s72-c/127-1270644_simba-sc-simba-sports-club-logo.png)
TIMU YA VIJANA YA SIMBA YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 2- 0 DHIDI YA TIMU YA YANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-3XoHDWc4q4Q/XmZAgyra22I/AAAAAAALiQE/JytjH8gDpvc4ycFivZiVxyDDvYXQE9McQCLcBGAsYHQ/s400/127-1270644_simba-sc-simba-sports-club-logo.png)
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 wa Simba wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Yanga katika mchezo wa utangulizi uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mchezo wa timu hizo mbili ambao ulikuwa wa utangulizi kabla ya mechi ya timu ya Simba na Yanga wanaoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Mtangane ulianza saa nane mchana ambapo vijana hao kwa kila timu walionesha umahiri wao wa kusakata kabumbu licha ya umri walionao. Timu ya...
10 years ago
GPLSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
10 years ago
MichuziSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko ndani ya Simba bado inaendelea kushika kasi, Katika kipindi cha miezi mitatu sasa, mmekuwa mashuhuda wa Simba inayolenga kuleta mapinduzi makubwa katika jinsi mpira unavyoendeshwa, kujali wanachama, wapenzi wake na kukuza vyanzo vya mapato.
Akizungumza na waandishi wa habari Rais wa Simba...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-YxerX_GyiZ4/VZZiSVHzfPI/AAAAAAAAN3s/kQuAfunl1t8/s72-c/simba-sports-club-SIMBA-NEWS-768x403.jpg)
SIMBA SPORT CLUB YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMBA NEWS
![](http://3.bp.blogspot.com/-YxerX_GyiZ4/VZZiSVHzfPI/AAAAAAAAN3s/kQuAfunl1t8/s640/simba-sports-club-SIMBA-NEWS-768x403.jpg)
Simba Sports Club kwa kushirikiana na Kampuni ya Tigo Tanzania zimezindua huduma ya ujumbe mfupi ijulikanayo kama ‘SIMBA NEWS’, ambayo lengo lake nikuwapatia wateja wa Tigo taarifa zinazoihusu klabu ya Simba popote walipo nchini.
Huduma hii mpya...
11 years ago
Tanzania Daima16 Apr
Friends of Simba wachukua timu
WAKATI homa ya pambano la watani wa jadi nchini ikizidi kupanda, Kundi la Marafiki wa Simba ‘Friends of Simba’ limeutaka uongozi unaokaribia kumaliza muda wake kulikabidhi kikosi ili kuhakikisha wanaibuka...