Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Samaki Mchangani’ keeps ‘Shoeshine’ flames alight

samaki-review

Written by PROF MARTIN MHANDO                   

I WATCHED ‘Samaki Mchangani’ with an air of expectation and almost trepidation. I was worried that many people, including myself, had invested a lot in young man Amil Shivji after his first short film ‘Shoeshine’ (2014, 24min).

Too much was expected from the second film and with the almost daily feed of the social media about how the production of the film was faring the anticipation was agonising.

The film tells the story of an accidental...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

TheCitizen

SHOWCASE: Movie about inequality? Cue in Amil’s ‘Samaki Mchangani’

The young filmmaker tells The Beat that the short film features local stars such as Deborah Dickson, leading man Bicco Matthew and Betty Kazimbaya.

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO

MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.  Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ amesema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert - Kumbukumbu ya kifo cha Albert Mangwe’.  Kareem amewaomba wadau...

 

10 years ago

Michuzi

USIKU WA WATEMBO NDANI YA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI NI RAHA TU

Balozi wa kinjwaji cha Baileys katika Usiku wa Warembo ndani ya Kiota cha Samaki Samaki,Vanessa (mwenye nguo nyeusi) akiwa katika picha ya pamoja na warembo katika kiota cha Samaki Samaki mtaa wa Samora Jijini Dar es Salaam,ikiwa ni muendelezo wa kuwaleta pamoja warembo wote hapa mjini.Wateja waliofika katika kiota cha Samaki samaki katika siku ya warembo wakiwa wanawaangalia warembo hawapo pichani.Balozi wa Baileys,Rahma Zumba (wa tatu kulia) akiwahudumia wateja waliofika katika kiota cha...

 

11 years ago

GPL

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA MEI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO

Mangwea enzi za uhai  wake . Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo la ‘Love Concert –Kumbukumbu ya Mangwea’,  Kareeem Omary ‘KO’  (kushoto) akiwa na familia ya marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ Mama mzazi wa Mangwea (Katikati) na  kaka wa Mangwea, Keneth Mangwea  (kulia).…

 

11 years ago

Dewji Blog

Kumbukumbu ya Kifo cha Mangwea Juni 28, Samaki Samaki Morogoro

Albert Mangwair

Mangwea enzi za uhai  wake.

Na Andrew Chale

MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha  marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ ,  litakalofanyika ndani ya ukumbi wa  Nyumbani Park (Samaki  Samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.

Akizungumza na mtando huu , Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo,  Kareeem Omary ‘KO’  alisema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert –...

 

10 years ago

Michuzi

SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani