SAMAKI SAMAKI NA USIKU WA WAREMBO
Siku ya warembo ni usiku unaowakutanisha pamoja warembo wote wa mjini ambao hufanyika kila Alhamis ndani ya Kiota cha Samaki Samaki City centre Jijini Dar,ambapo huduma kama zile za sangria kwa kila mrembo na shot ya Baileys pamoja ua rose hutolewa kwa warembo hao ikiwa ni kuonyesha kuwa bila warembo hakuna kinachoendelea.Katika usiku huo magoma ya nguvu huporomoshwa na maDJ wakaji wa Samaki Samaki ambao ni Dj Sinyorita the hottest female DJ in town na DJ Vasley.Dj Vasley akizungusha ngoma...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-do5RdOAqn7M/VMJUGuqanSI/AAAAAAAApj0/J8KmcXwID6I/s72-c/DSC_0230.jpg)
WADAU KIBAO NDANI YA USIKU WA WAREMBO KATIKA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI JIJINI DAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-do5RdOAqn7M/VMJUGuqanSI/AAAAAAAApj0/J8KmcXwID6I/s1600/DSC_0230.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-XF3M-ojAt38/VMJUGggiKyI/AAAAAAAApj4/elH25MpnLhE/s1600/DSC_0244.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LQskPInfO58/VOXWiYbz5xI/AAAAAAAHEjI/l89qF6i8Bww/s72-c/Siku%2BYa%2BWarembo%2BDJ%2BBiggie.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-fi8JaCfKDHs/VL_GqSbYNxI/AAAAAAAG-wQ/cVS8-e7_MWI/s72-c/unnamed.png)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rlKdysP3wBo/VOiGE16gIgI/AAAAAAAHE_Q/6ShxRvZW4CA/s72-c/DSC_0354.jpg)
USIKU WA WATEMBO NDANI YA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI NI RAHA TU
![](http://2.bp.blogspot.com/-rlKdysP3wBo/VOiGE16gIgI/AAAAAAAHE_Q/6ShxRvZW4CA/s1600/DSC_0354.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-AHWHU0BwQqc/VOiGEtljAfI/AAAAAAAHE_M/QXTWiS_GEjs/s1600/DSC_0379.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-xYJWi49KYxE/VOiGFo-DmsI/AAAAAAAHE_k/3JhXOu-Q7Dk/s1600/DSC_0407.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-eBS0-0Ni0-E/U4OU1O1o5QI/AAAAAAAFlQs/Mz4xStem7eo/s72-c/unnamed+(66).jpg)
TAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A_gEwZBSsvM/VabjsBhtUTI/AAAAAAABjXo/IERsB3eJMSQ/s72-c/OFFICIAL%2BPOSTER.jpg)
11 years ago
Dewji Blog27 May
Kumbukumbu ya Kifo cha Mangwea Juni 28, Samaki Samaki Morogoro
Mangwea enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale
MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki Samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.
Akizungumza na mtando huu , Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ alisema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert –...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LvDVQzCM3iuYO7UFTjnUFu-BwMg*KGeb6K-Tua3wHehsow5b7gL9WBwHbsGYfqGZAApCFSUVJ1ltIgFgXTAnKJG/AlbertMangwair.jpg?width=650)
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA MEI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-r86mgXobb40/VRVqvff7RVI/AAAAAAAHNp4/qnCS4F4w94M/s72-c/1.jpg)
SAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...