Samatta asubiri tiketi ya CSKA Moscow
Mshambuliaji wa TP Mazembe, Mbwana Samatta amesema amefuzu majaribio kwenye klabu ya CSKA Moscow ya Urusi ila anasubiri majibu ya lini atajiunga nayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Picha za Samatta katika majaribio CSKA Moscow na listi ya vilabu vingine vinavyomtaka
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/10689498_930864360265174_71847191900962169_n.jpg)
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/01/15922_870694186307442_880608052995095050_n.jpg)
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba mshambuliaji huyo yupo kwenye majaribio katika klabu ya CSKA Moscow – moja ya klabu kubwa kabisa nchini...
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78437000/jpg/_78437001_cityplayersprotest.jpg)
CSKA Moscow 2-2 Man City
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78791000/jpg/_78791178_agueroepa.jpg)
Manchester City 1-2 CSKA Moscow
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Samatta aikosa CSKA
10 years ago
StarTV06 Nov
Manchester City wakubali kipigo kwa CSKA.
Safari ya Manchester City kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa barani Ulaya imeingia mikosi zaidi baada usiku wa kuamkia leo kukubali kugaragazwa nyumbani Etihad na Warusi wa CSKA Moscow na kuufanya kuwa usiku mbaya jijini Manchester.
Licha ya kuruhusu mabao mawili ya kipindi cha kwanza yaliyotiwa wavuni na Seydou Doumbia pia viungo wake muhimu Yaya Toure na Fernandinho walitolewa nje kwa kadi nyekundu na hivyo wataikosa mechi ngumu ijayo dhidi ya Bayern Munich.
Yaya Toure alisawazisha bao...
10 years ago
BBCSwahili02 Oct
UEFA kuamua mechi ya Man City na CSKA
10 years ago
BBCSwahili12 Sep
Oscar Pistorius asubiri hukumu
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Mgimwa asubiri baraka za JK Bunge la Katiba
9 years ago
Mwananchi08 Sep
Dk Slaa asubiri majibu ya Askofu Gwajima