Picha za Samatta katika majaribio CSKA Moscow na listi ya vilabu vingine vinavyomtaka
Pamoja na CSKA Moscow – timu nyingine ambazo zinatajwa kumtaka mshambuliaji huyo ni Inter Milan na Udinese za Italia, Atletico Madrid ya Spain, FC Basel ya Uswis na Kaiserslauten ya Ujerumani.Hatimaye nyota ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe Mbwana Samatta imeanza kung’ara katika anga ya kimataifa ya soka.
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba mshambuliaji huyo yupo kwenye majaribio katika klabu ya CSKA Moscow – moja ya klabu kubwa kabisa nchini...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Feb
Samatta asubiri tiketi ya CSKA Moscow
10 years ago
BBCCSKA Moscow 2-2 Man City
10 years ago
BBCManchester City 1-2 CSKA Moscow
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Samatta aikosa CSKA
9 years ago
MillardAyo03 Jan
TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio …
Baada ya mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Samatta kuthibitisha kuwa yuko mbioni kuondoka TP Mazembe na kujiunga na klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, stori za January 2 ni kuwa klabu ya TP Mazembe imeita nyota wawali wa bongo kwenda kufanya majaribio. […]
The post TP Mazembe inatafuta mbadala wa Samatta? hawa ndio nyota wa Tanzania waliokwenda kwa majaribio … appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Dewji Blog20 Apr
Kinana ashiriki katika bonanza la vilabu vya Jogging mkoa wa Dar, vijana watakiwa kujiandikisha daftari la wapiga kura
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akianza mazoezi wakati akishiriki katika bonanza la Jogging lililoandaliwa na Kundi la Kaza Moyo Jogging Club la Ukonga Sitakishari ili kuhamasishwa vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura . Mazoezi hayo yameanzia katika viwanja vya Gonga Gongo la Mboto kupitia Kipawa na kuishia kwenye uwanja wa Social Sitaki Shari Ukonga ujumbe mkuu wa Bonanza hilo ulikuwa ni kuwataka vijana kujitokeza kwa...
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Habari katika picha: Baadhi ya picha bora zilizopigwa barani Afrika
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Samatta katika orodha ya 3 bora ya CAF