Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sanamu la Mwalimu Nyerere kujengwa Makao Makuu ya AU,Addis Ababa.

Na Shamimu Nyaki – WHUSM

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inaratibu ujenzi wa Sanamu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika viwanja vya jengo la Amani na Ulinzi la Julius Nyerere lililopo katika Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Jijini Addis Ababa, Ethiopia.

Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa Hotuba ya Makadirio ya Bajeti kwa mwaka 2020/2021 Bungeni Jijini Dodoma, Waziri wa Habari,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Alhaji Juma Kilimba, akizungumza kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 43 ya chama hicho yaliyofanyika kimkoa Wilaya ya Singida Vijijini hivi karibuni. Wengine ni viongozi mbalimbali wa chama hicho na Serilikali na Wabunge. KWA PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 43 YA CCM >> BOFYA HAPA

Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAJIFUA ADDIS ABABA

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa  Addis Ababa uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaofanyika Juni 14, jijini Alexandria. (Picha kwa hisani ya TFF)


Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14,...

 

9 years ago

BBC

VIDEO: All aboard the Addis Ababa tram

What lessons can other African cities learn from Ethiopia's state-of-the-art tram system?

 

11 years ago

BBCSwahili

Oromia Wapinga upanuzi wa Addis Ababa

Upanuzi wa jiji la Addis Ababa umekabiliwa na maandamano ya wenyeji wanaopinga kupokonywa ardhi yao

 

10 years ago

Vijimambo

STARS YAENDELEA KUJIFUA ADDIS ABABA


Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro kimeendelea kujifua katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia eneo la CMC asubuhi na jioni katika uwanja wa Taifa wa Addis Ababa. Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa imekua ikijifua mara mbili kwa siku, kuhakikisha wachezaji wanakua vizuri kuelekea katika mchezo dhidi ya timu ya Taifa Misri mwishoni mwa wiki hii jijini Alexandria.Hali ya kambi kiujumla ni nzuri, wachezaji wote ni...

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAENDELEA KUJIFUA JIJINI ADDIS ABABA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhamini na kampuni ya bia ya Kilimanjaro, leo imeanza mazoezi katika uwanja wa  Addis Ababa zamani ukifahamka kama (Haille Sellsie) uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaopigwa Juni 14, jijini Alexandria.
Stars ambayo iliwasili jana jioni jijini Addis Ababa imefikia katika hoteli ya Debre Damo iliyopo eneo na 22 Mazoiria ambapo itakaa kambi kwa kipindi cha wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya Mapaharao.
Kocha Mkuu wa...

 

11 years ago

Michuzi

UBALOZI WA TANZANIA ADDIS ABABA WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA MUUNGANO

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi Aziz na Mwambata Jeshi Brig. Gen. Bishoge wakiwa wamesimama  kwa heshima wakati wimbo wa Taifa ukiimbwa na kwaya ya Kamisheni ya Umoja wa Afrika jijini Addis Ababa.  Aliyesimama kwenye podium ni Bw. Samwel Shelukindo, Afisa Mambo ya Nje Mkuu ambaye alikuwa MC katika sherehe hizo.   Mhe. Balozi Naimi Aziz akitoa hotuba katika sherehe hizo.  Mhe. Balozi Naimi Aziz akikata keki ya Miaka 50 na wageni waalikwa. Kutoka kushoto ni Balozi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani