Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SANDRA: HATA NIKIMFUMANIA SIWEZI KUMUACHA MUME WANGU

Wiki hii kupitia ukurasa huu tunaye mwanadada anayefanya vizuri kwenye ulimwengu wa filamu anayefahamika sana kwa jina la Sandra lakini jina lake halisi ni Salama Salmini.Ni mama wa watoto wawili na anaishi na mume wake. Mwandishi Wetu Mayasa Mariwata hivi karibuni alimbana kwa maswali 10 na bila hiyana alitoa ushirikiano katika kuyajibu, shuka naye… Mkongwe katika tasnia ya filamu Bongo,Salama Salmini 'Sandra'. TQ: Ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMA: WACHAWI WANANITESA, WATOTO WANGU 8, MUME WANGU WAMEKUFA KWA UGONJWA WA AJABU

STORI: MAKONGORO OGING’
Regina Kihosa (62), mkazi wa Kosolameba mkoani Kigoma amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kufuatia gonjwa la ajabu lililompata huku akidai kwamba limetokana na wachawi ambao wanausumbua mji wake. Regina Kihosa akiteseka kwa gonjwa la ajabu. KWANZA AMEPOTEZA WATOTO WANANE
Mama huyo amelazwa katika hospitali hiyo jengo la Sewahaji,wodi namba 24 akiendelea na matibabu na ana mawazo mengi...

 

10 years ago

Bongo Movies

"Hata iweje siwezi kuachana na Nuh Mziwanda" - Shilole huyo

Baada ya varangati lililotokea Tabora katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014,  baada mpenzi wa mwanamuziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’,  Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ kukataliwa na mashabiki, Shilole ameamua kufunguka kuwa Nuh atabaki kuwa mpenzi wake katika hali yoyote.

Akizungumza na paparazi wa kampuni ya GPL, Shilole alisema lengo lake lilikuwa ni kumtambulisha mpenzi wake kwa mashabiki wake japo walimkataa kuwa shemeji yao.

“Wakati namtambulisha Nuh kwa wakazi wa Tabora kuwa...

 

10 years ago

GPL

DIVA: ZITTO NI MUME WANGU

Na Shakoor Jongo
MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa mke na mume. Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho, Loveness Malinzi ‘Diva’ akipozi. Katika mahojiano maalum na mwanahabari wetu jijini Dar juzi, Diva alisema anashangazwa na baadhi...

 

11 years ago

GPL

SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!

Stori:  Gladness Mallya
MWADADADA anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja. Shamsa Ford. Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho. “Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae  mbali na mume...

 

10 years ago

GPL

SHAMSA: SIJAACHANA NA MUME WANGU

Na IMELDA MTEMA/Uwazi MSANII wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford amewafungukia watu wanaoeneza taarifa kuwa ameachana na mumewe, Dickson Matoke kwamba hakuna kitu kama hicho. Msanii wa filamu anayetamba na Filamu ya Chausiku, Shamsa Ford. Akizungumza na Uwazi, Shamsa alisema kuwa hajaachana na mumewe huyo na wote wanaosema hivyo watakuwa wanamtaka.“Bado nipo na mume wangu tena kajaa tele, nashangaa hao...

 

9 years ago

Global Publishers

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 4

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mh! Wote tuliangaliana, lakini mimi moyoni nilikubaliana na madai ya Daniel kwa sababu ya ile hali iliyojitokeza pale kwenye shughuli. Yule mzee naye akatia neno lake, akisema:

“Ila mimi jamani nakubaliana na huyu kijana, Daniel. Ndiyo maana pale nilisema najua zaidi, mama ukaja juu ukitaka nikiseme hicho ninachokijua. Lakini ukweli ni kwamba, Daniel namfahamu, hawezi kukurupuka kutaka amrithi shemeji yake, wengine wangeweza.”

Mimi nikanyoosha mkono ili niseme,...

 

9 years ago

Global Publishers

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kilichonifanya nimwangalie sana ni kwamba, huo wimbo aliosema aliwekewa na mume wangu, Bubu Hutaka Kusema mume wangu naye alikuwa akiupenda kupindukia, nikamshangaa sana huyu Tiaki.
“Shemeji,” nilimwita.

“Naam.”
“Mbona sikuelewi?”
ENDELEA NAYO SASA…

“Hunielewi kivipi shemeji. Kukuomba wimbo au?”
“Huo wimbo mume wangu alikuwa akiupenda sana. Lakini pia juisi ya ukwaju, mume wangu alikuwa akiipenda. Sasa nashangaa sana. Kwa nini kila kitu alichokipenda yeye na wewe...

 

11 years ago

GPL

MKE: MUME WANGU AKACHUKUA NYUNDO...

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro DAH! Inasikitisha sana jamani. Faustina Selali, 38, mkazi wa Mgeta, Mvomero mkoani hapa, yupo kwenye mateso makali akijiuguza kutokana na kipigo alichopata kutoka kwa mumewe wa ndoa aliyemtaja kwa jina la Lugasiani John Miasiku, kisa kikiwa ni mumewe huyo kutaka kuoa mke wa pili. Faustina Selali,akiwa katika maumivu makali baada ya kushambuliwa na mumewe. Mwanamke huyo amelazwa katika wodi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani