Sapp Blatter atakiwa kuachia ngazi FIFA
Mjumbe wa zamani wa shirikisho la soka duniani amesema kuwa Rais wa shirikisho hilo Sepp Blatter anapaswa kuachia ngazi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV07 Oct
Blatter atakiwa kuachia ngazi FIFA
Mjumbe wa zamani wa shirikisho la soka duniani amesema kuwa heshima ya Fifa haitaweza kurudi mpaka pale Rais Wa shirikisho hilo Sepp Blatter atakapoachia ngazi.
Michael Hershman ameiambia BBC kuwa Sepp blatter hanabudi kuondoka na kupisha mtu mwingine kukiongoza chombo hicho.
Amedai kuwa hivi sasa yanatakiwa mabadiliko ya uongozi baada ya Fifa kuwa katika mlolongo wa shutuma za rushwa kwa miaka mingi,hivyo basi ni vyema uongozi ukabadilika.
Blatter amekuwa Rais wa shirikisho...
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
Dk. Dau atakiwa kuachia ngazi
KAMATI ya Kudumu ya Bunge inayoshughulika na Mashirika ya Umma (PAC), imemtaka Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ramadhan Dau, aachie nafasi ya ukatibu wa Kamati...
10 years ago
Habarileo03 Feb
Nyalandu atakiwa kuachia ngazi
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amebanwa bungeni huku baadhi ya wabunge wakimtaka ajiuzulu, kutokana na kile kilichoelezwa amesababisha Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kupoteza Sh bilioni mbili kila mwezi.
11 years ago
Tanzania Daima18 Feb
Madabiba atakiwa kuachia ngazi CCM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kibonde Bwawe, amemtaka Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida, kujiuzulu wadhifa wake ili kukiepusha chama kupakwa matope kutokana na...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Mwenyekiti Wazo atakiwa kuachia ngazi
WANANCHI wa Mtaa wa Kilimahewa, Kata ya Wazo, Dar es Salaam, wametishia kufunga ofisi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, endapo hatakubali kuachia ngazi. Wakazi hao wamekuwa na mvutano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ok30SVir64lYAJdkYKTe4qbA8vP4LrC7mCz54W059VCIAHfnv95KGDRSSIwPpS2B-udaedeWTLegRG*ebO2huXP9fDrGVS-e/4.jpg?width=650)
MWAKIFWAMBA KITANZINI, ATAKIWA KUACHIA NGAZI!
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-5dIXJfiM2Yw/VW3hvEUAvYI/AAAAAAADp2c/JU2GmAkheMg/s72-c/Sepp-blatter-006.jpg)
SEPP BLATTER AACHIA NGAZI KUONGOZA CHOMBO KIKUBWA KABISA KINACHOONGOZA MPIRA WA MIGUU DUNIA FIFA LICHA YA JUZI JUZI TU KUSHINDA KWA KISHINDO
![](http://api.ning.com/files/rWr07F5d70uEH2J4Zb3OPOrIs1ov5ED7STaDrOYdZPqJ*Z0TubmsPbWWW4c*WRwxF7qcalEJmxGNV7GsVaXBFVf8wvoZRlOc/BREAKING.gif)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5dIXJfiM2Yw/VW3hvEUAvYI/AAAAAAADp2c/JU2GmAkheMg/s640/Sepp-blatter-006.jpg)
9 years ago
Habarileo02 Sep
Katibu Taboa atakiwa kuachia uongozi
WANACHAMA wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) wamemtaka Katibu Mkuu wa chama hicho, Enea Mrutu kuachia uongozi kwa madai ya kushindwa kufatilia maslahi yao serikalini.