Saudia:Nafasi 8 za kutekeleza hukumu ya kifo
Saudi Arabia imetangaza nafasi 8 za watu ambao kazi yao itakuwa ni kutekeleza hukumu ya kifo!
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Abatilishiwa hukumu ya kifo Marekani
Mwanamume mmoja aliyeishi jela kwa zaidi ya miaka 25 akisubiri hukumu ya kifo nchini Marekani, ameachiliwa huru baada ya mahakama kubatilisha uamuzi huo
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Hukumu ya kifo ya yatekelezwa Misri
Misri imetekeleza hukumu ya kifo ya mwanzo, iliyotolewa baada ya kupinduliwa kwa serikali ya rais muislamu, Mohammed Morsi,
10 years ago
BBCSwahili08 Aug
Aliyeua watu 12 anusurika hukumu ya kifo
Mtu aliyewaua watu 12 katika onyesho la filamu,Marekani,amenusurika hukumu ya kifo na badala yake atatumikia kifungo cha maisha jela
10 years ago
Mwananchi24 Aug
‘Hukumu ya kifo ikifutwa mauaji yataongezeka’
Wakati wanaharakati duniani wakitaka hukumu ya kifo ifutwe, aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Amir Manento amesema muda wa Tanzania kufuta hukumu hiyo haujafika na kwamba endapo uamuzi huo utatekelezwa mauaji yataongezeka.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Hukumu ya kifo yathibitishwa kwa Morsi
Mahakama ya Misri imethibitisha adhabu ya kifo kwa rais wa zamani wa nchi hiyo Mohammed Morsi na wenzake kadha
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Hukumu ya kifo ya watu 11 itadumu Misri
Mahakama nchini Misri umeamuru kuwa hukumu wa kifo dhidi ya watu 11 waliopatikana na hatia ya kuzua ghasia itadumu.
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
UN yalaani Misri kwa hukumu ya kifo
Umoja wa Mataifa umelaani kitendo cha Misri kuwahukumu kifo zaidi ya watu miatano ikisema kuwa ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa za haki za binadamu.
11 years ago
BBCSwahili21 Apr
Mjadala wa hukumu ya kifo wazuka Rwanda
Mjadala umezuka nchini Rwanda ambapo baadhi ya wananchi wanataka kurejeshwa kwa hukumu ya kifo nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania