Sauti:Vitambulisho na mawakala — uchaguzi Zanzibar
Salma Said, Tume ya uchaguzi Zanzibar ZEC ikiwa tayari imeshakamilisha taratibu zake zote za uchaguzi mkuu utakaofanyika hapo kesho kumekuwepo na malalamiko kwa vyama vya siasa kuhusiana na kutokupewa vitambulisho vya mawakala wa vyama watakaosimamia zoezi […]
The post Sauti:Vitambulisho na mawakala – uchaguzi Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar14 Oct
Sauti:Matayarisho ya uchaguzi Zanzibar
Salma Said, Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewaita wadau wa uchaguzi kuwaeleza ukamilishaji wa taratibu za uchaguzi ambazo zinakaribia kufikia ukingoni mnamo Octoba 25 mwaka huu, huku masuali kadhaa ya khofu na kasoro za uchaguzi huo […]
The post Sauti:Matayarisho ya uchaguzi Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
11 years ago
MichuziTume ya Uchaguzi yavitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kuwatumia mawakala kutoka ndani ya jimbo hilo
Akizungumza katika mkutano baina ya vyama vya siasa na tume hiyo,Mwenyekiti wa Tume hiyo,Jaji mstaafu Damiani Lubuva amesema kuwa pamoja na kuwa sheria haikatazi kwa vyama kuteua mawakala wa vyama kutoka majimbo mengine ya...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-GLOo2fF20ec/VZvmjGS3OaI/AAAAAAAHnlY/TvOjjUFntK8/s72-c/am4-430x320.jpg)
TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR YATANGAZA MAJIMBO YA UCHAGUZI ZANZIBAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-GLOo2fF20ec/VZvmjGS3OaI/AAAAAAAHnlY/TvOjjUFntK8/s640/am4-430x320.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Watumishi 500 Zanzibar wapatiwa vitambulisho vya taifa
WATUMISHI 500 wa Wizara ya Afya Zanzibar wamepatiwa vitambulisho vya taifa. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Ofisi ya Zanzibar, Vuai Mussa Suleiman, alibainisha hayo alipozungumza na Tanzania...
10 years ago
Habarileo19 Aug
Utoaji vitambulisho vya Taifa wakamilika Dar, Zanzibar
KAZI ya kuandikisha na kutoa vitambulisho vya Taifa, imekamilika Zanzibar na mkoa wa Dar es Salaam.
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-J6rb7Y8vxdI/VjCpqi-XZ6I/AAAAAAAIDKQ/wem7bu-7ed0/s72-c/20151028035057.jpg)
TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR YAFUTA UCHAGUZI WA ZANZIBAR
![](http://2.bp.blogspot.com/-J6rb7Y8vxdI/VjCpqi-XZ6I/AAAAAAAIDKQ/wem7bu-7ed0/s640/20151028035057.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-er8jVRkg_7o/VjCprncR3wI/AAAAAAAIDKU/zN8pUewvZ6g/s640/20151028035057q.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MrQnzIPFK1w/VjCpsfCawUI/AAAAAAAIDKg/aahnc4w4iSk/s640/20151028035048z.jpg)
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Sauti za Busara Zanzibar
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
Sauti:Elimu ya uraia (kupiga kura uchaguzi)
Sikiliza repoti ya Salma Said:
The post Sauti:Elimu ya uraia (kupiga kura uchaguzi) appeared first on Mzalendo.net.