Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watumishi 500 Zanzibar wapatiwa vitambulisho vya taifa

WATUMISHI 500 wa Wizara ya Afya Zanzibar wamepatiwa vitambulisho vya taifa. Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Ofisi ya Zanzibar, Vuai Mussa Suleiman, alibainisha hayo alipozungumza na Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Utoaji vitambulisho vya Taifa wakamilika Dar, Zanzibar

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa NIDA, Thomas WilliamKAZI ya kuandikisha na kutoa vitambulisho vya Taifa, imekamilika Zanzibar na mkoa wa Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa vyalalamikiwa

>Kazi ya uchukuaji alama za vidole na picha kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa, imeanza mjini Tanga na dosari kadhaa zimeripotiwa, ikiwamo wananchi kusota muda mrefu kwenye vituo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchakato wa Vitambulisho vya Taifa uboreshwe

Mchakato wa kupatikana kwa vitambulisho vya Taifa unaoendelea jijini Dar es Salaam umeanza kuibua maswali kama kweli wananchi wote nchi nzima watakuwa wamepata vitambulisho hivyo kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwakani na hata kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015.

 

10 years ago

Habarileo

Milioni 6 waandikishwa vitambulisho vya Taifa

WATU zaidi ya milioni 6.1 wameshaandikishwa kwa ajili ya kupatiwa vitambulisho vya Taifa na kati yao milioni 2.5 wameshapatiwa vitambulisho tangu zoezi hilo lizinduliwe mwezi Februari 2013.

 

10 years ago

Mwananchi

Vitambulisho vya Taifa bado ni kitendawili

Tuliwahi kusema katika safu hii kwamba mpango wa Serikali wa kuandikisha wananchi ili kuwapatia vitambulisho vya Taifa hautafanikiwa kama matatizo yaliyokuwa yakigubika mpango huo hayangepatiwa ufumbuzi wa kudumu.

 

10 years ago

GPL

NIGERIA YAZINDUA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan akiwa na mfano wa kitambulisho chake cha taifa. NCHI ya Nigeria imezindua mpango wa vitambulisho vya taifa hilo vya ki- elektroniki. Rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan amekuwa mtu wa kwanza kupata kadi hiyo ya Biometric, baada ya kuipokea ameielezea kadi hiyo kuwa itarahisisha huduma za Kiserikali lakini pia kadi hiyo inao uwezo wa kufanya malipo mtandaoni. Rais Jonathan akitumia...

 

10 years ago

Michuzi

Usajili Vitambulisho vya Taifa wazinduliwa Morogoro

Na Thomas William,Morogoro.
Usajili na Utambuzi wa watu katika mkoa wa Morogoro umezinduliwa rasmi Septemba 20, 2014 na Mkuu wa Mkoa wa huo, Joel Bendera katika ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Morogoro.
Akizindua zoezi hilo aliwasisitiza wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa, makatibu tawala wilaya na viongozi wote kufikia ngazi ya kijiji na mtaa kuhakikisha kwamba wanashiriki kikamilifu katika kufanikisha usajili wa watu katika mkoa wake.
Alisema viongozi...

 

11 years ago

Habarileo

‘Vitambulisho vya Taifa si mbadala wa kadi ya mpigakura’

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian LubuvaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Damian Lubuva amesema vitambulisho vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) si mbadala wa kadi ya mpiga kura.

 

10 years ago

Vijimambo

Wahamiaji haramu 15 wanaswa vitambulisho vya taifa

Afisa uhamiaji mkoani Pwani, Grace Hokororo
Idara ya Uhamiaji mkoani Pwani imenasa majina 15 ya watu wanaodaiwa kuwa wahamiaji haramu waliojiandikisha kwenye Zoezi la Vitambulisho vya Taifa.
Afisa uhamiaji mkoani Pwani, Grace Hokororo, ameiambia NIPASHE kuwa tayari wamepata majina hayo ambapo hatua inayofuata ni kuwakamata na kuwahoji ili kupata uhalali wa uraia wao.

“Tutachukua maelezo yao tukiridhika kuwa si raia wa Tanzania tutawachukulia hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kuwapeleka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani