Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SBL yakabidhi mradi wa maji

MRADI wa maji ujulikanao kama ‘Water for life’ wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), umechangia Sera ya Taifa inayoeleza kuwa kila mwananchi anatakiwa apate maji safi na salama kwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa maji SBL kunufaisha Temeke

SEKTA ya afya nchini imezidi kupata msukumo baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa maji katika zahanati ya Mkamba, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam. Mradi huo uliozinduliwa jana ulifanikiwa baada...

 

10 years ago

Raia Tanzania

TBL yakabidhi mradi wa maji

KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL), imekabidhi kisima cha maji chenye thamani ya Sh. milioni 69 kwa wakazi wa kata za Yombo Vituka na Mwembe Ladu, Manispaa ya Temeke.

Akizungumza baada ya kuzindua na kukabidhi kisima hicho kwa uongozi wa Serikali ya Mtaa, Ofisa Uhusiano wa TBL, Doris Malulu, alisema mradi huo ni sehemu ya kusaidia jamii kuondokana na kero ya majisafi na salama.

Alisema TBL kupitia kaulimbiu ya 'bila maji hakuna uhai,’ imelenga kuhakikisha jamii inaondokana na kero ya...

 

9 years ago

Michuzi

LAFARGE TANZANIA YAKABIDHI MRADI WA MAJI KWA KIJIJI CHA SONGWE VIWANDANI, MBEYA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Lafarge Tanzania (Mbeya Cement), Catherine Langreney na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Nyirembe Sabi wakikata utepe kuzindua mradi wa maji uliojengwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwaondelea tatizo la uhaba wa maji safi na salama wananchi wa kijiji cha Songwe Viwandani mkoani Mbeya katika hafla iliyofanyika kijijini hapo mwishoni mwa wiki. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

SBL YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA WIKI WA PROMOSHENI YA WINDA SAFARI YA BRAZILI NA SERENGETI

 Mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili Omari Mikidadi (47) kutoka Mbagala jijini Dar es Salaam akipokea zawadi ya simu ya kisasa aina ya Samsung Gallaxy tablet kutoka kwa mwakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Erick Tafisa(kulia), wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika wiki hii jijini Dar es Salaam.   Meneja Promosheni wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Davis Kambi (kushoto) akimkabidhi mmoja wa washindi wa promosheni ya Winda Safari ya Brazili Alex...

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

10 years ago

GPL

BODI YA WAKURUGENZI YA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA MAJI TAKA DAR ES SALAAM (DAWASA) YATEMBELEA ENEO LA MRADI WA UJENZI WA BWAWA LA MAJI KIDUNDA

Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.… ...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA MRADI WA UIMARISHAJI MRADI WA MAJI SAFI MAKUNDUCHI

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya maji safi (ZAWA) Dkt. Mustafa Ali Garu (kulia) wakati alipotembelea Uimarishaji wa mradi wa maji safi na salama wa uchimbaji wa Kisima kipya na ukarabati wa tangi la maji Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Unguja leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi...

 

9 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa maji akagua ujenzi wa mradi mkubwa wa maji Bunda

 Naibu waziri wa maji Mhe Amos Makalla amekagua mradi mkubwa wa maji utakaohudumia wananchi wa mji wa Bunda na vijiji 13 vilivyopo karibu na chanzo na vitakavyopitiwa na bomba kuelekea mji wa Bunda Kwa mujibu wa injinia Gantala Gantala mkurugenzi wa mamlaka ya maji musoma ambao ndiyo wasimamizi wa ujenzi wa mradi huo kwa niaba ya wizara ya maji ameleza kuwa mahitaji ya maji sasa kwa wananchi wa mji wa Bunda ni lita milioni 5 kwa siku wakati uzalishaji wa sasa maji ni lita milioni moja na...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MAJI AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA MRADI WA MAJI YA DHARURA KARATU

Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe mwishoni mwa wiki alitembelea mradi wa maji wa dharura Karatu Mjini kuona utekelezaji wake. Mradi huo mahsusi kwa ajili ya kukabiliana na upungufu mkubwa wa maji mjini Karatu unasimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Jijini Arusha (AUWSA).
Pia, Prof. Maghembe alitembelea Halmashauri ya Mji wa Karatu kuangalia hali ya upatikanaji wa maji na utekelezaji wa miradi ya maji wilayani humo katika programu ya vijiji 10 ya BRN. Waziri wa Maji, Prof....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani