Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sebastian Vettel amuangusha Hamilton

Dereva wa mbio za magari wa timu ya Ferrari Sebastian Vettel amembwaga Lewis Hamilton wa timu ya Mercedes.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Sebastian Coe aula IAAF

Bodi ya Shirikisho la riadha duniani IAAF, imemchagua Sebastian Coe kuwa rais wake mpya.

 

10 years ago

Michuzi

Tangazo la Msiba wa Ndg Sebastian Lukas Mgimba

Familia ya bwana Sebastian Lukas Mgimba ya sinza kumekucha inasikitika kutangaza kifo cha baba Yao mpendwa ndugu Sebastian Lukas Mgimba kilichotokea alhamis 28/5/2015 katika hospital ya kairuki mikocheni Dar es salaam. Mipango ya mazishi Inafanyikia nyumbani kwa marehemu sinza kumekucha. Mwili unatarajia kusafirishwa kwenda Lugarawa Ludewa Njombe jumatatu 1/6/2015. Habari ziwafikie Familia ya Malyatabu Mgimba iliyopo Lugarawa Ludewa familia ya Philipo Mshengeli Msuya ya shighatini Mwanga...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Roberto Ft. Sebastian Dutch — Am Gon Love Her

Hii ni video mpya ya wimbo wa msanii Roberto kutoka Zambia baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Amarula” huu ni wimbo wake mwingine unaitwa “Am Gon Love Her” amemshirikisha Sebastian Dutch. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia […]

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA MSIBA WA NDG SEBASTIAN LUKAS MGIMBA WA SINZA KUMEKUCHA

Familia ya bwana Sebastian Lukas Mgimba ya sinza kumekucha inasikitika kutangaza kifo cha baba Yao mpendwa ndugu Sebastian Lukas Mgimba kilichotokea alhamis 28/5/2015 katika hospital ya kairuki mikocheni Dar es salaam. Mipango ya mazishi Inafanyikia nyumbani kwa marehemu sinza kumekucha. Mwili unatarajia kusafirishwa kwenda Lugarawa Ludewa Njombe jumatatu 1/6/2015. Habari ziwafikie Familia ya Malyatabu Mgimba iliyopo Lugarawa Ludewa familia ya Philipo Mshengeli Msuya ya shighatini Mwanga...

 

5 years ago

Mirror Online

Gary Neville gives verdict on why Juan Sebastian Veron struggled at Man Utd

Gary Neville gives verdict on why Juan Sebastian Veron struggled at Man Utd  Mirror OnlineView Full coverage on Google News

 

5 years ago

Mirror Online

Bruno Fernandes compares himself to former Man Utd star Juan Sebastian Veron

Bruno Fernandes compares himself to former Man Utd star Juan Sebastian Veron  Mirror OnlineBruno Fernandes reveals Ole Gunnar Solskjaer role in sealing Manchester United switch  Sky Sports'I'm the new Veron!' - Man Utd star Bruno Fernandes shows off fresh goatee style  GoalPaul Pogba's treatment from Man Utd team-mates as Bruno Fernandes steals his limelight  Mirror OnlineBruno Fernandes reveals the final thing that convinced him to join Manchester United  Manchester Evening NewsView Full...

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO LA MSIBA KUTOKA FAMILIA YA NDG SEBASTIAN MGIMBA WA DAR ES SALAAM - TANZANIA

Marehemu Mathew Sebastian Mgimba Enzi za Uhai Wake.
2Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza Imani nimeilinda.
Familia ya Ndugu Sebastian Mgimba inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Mathew Sebastian Mgimba kilichotokea Nchini Malaysia tarehe 20/11/2014.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili leo tarehe 25/11/2014 na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Sinza Kumekucha.Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi - Amina

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MPENDWA WETU SEBASTIAN MGIMBA WAPUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI

 Ndugu wa Marehemu Sebastian Mgimba Philipo Mgimba (katikati) akiwa amebeba msalaba huku pembeni ndugu mwingine akiwa pamoja na picha ya marehemu wakati wa misa fupi ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam leo.Dada wa Marehemu Sebastian Mgimba, Mariam akiwa na ndugu zake wakati wa sala ya mazishi iliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni leo Rafiki wa Marehemu akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Sebastian Mgimba mara baada ya sala fupi ya mazishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani