TANGAZO LA MSIBA WA NDG SEBASTIAN LUKAS MGIMBA WA SINZA KUMEKUCHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s72-c/20150529_155841_resized.jpg)
Familia ya bwana Sebastian Lukas Mgimba ya sinza kumekucha inasikitika kutangaza kifo cha baba Yao mpendwa ndugu Sebastian Lukas Mgimba kilichotokea alhamis 28/5/2015 katika hospital ya kairuki mikocheni Dar es salaam. Mipango ya mazishi Inafanyikia nyumbani kwa marehemu sinza kumekucha. Mwili unatarajia kusafirishwa kwenda Lugarawa Ludewa Njombe jumatatu 1/6/2015. Habari ziwafikie Familia ya Malyatabu Mgimba iliyopo Lugarawa Ludewa familia ya Philipo Mshengeli Msuya ya shighatini Mwanga...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s72-c/20150529_155841_resized.jpg)
Tangazo la Msiba wa Ndg Sebastian Lukas Mgimba
![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s640/20150529_155841_resized.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-h1bkPDB_KvE/VHQyeRafhzI/AAAAAAAAdCE/ZCaV7BZj8dU/s72-c/IMG-20141124-WA0001.jpg)
TANGAZO LA MSIBA KUTOKA FAMILIA YA NDG SEBASTIAN MGIMBA WA DAR ES SALAAM - TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-h1bkPDB_KvE/VHQyeRafhzI/AAAAAAAAdCE/ZCaV7BZj8dU/s1600/IMG-20141124-WA0001.jpg)
2Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza Imani nimeilinda.
Familia ya Ndugu Sebastian Mgimba inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Mathew Sebastian Mgimba kilichotokea Nchini Malaysia tarehe 20/11/2014.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili leo tarehe 25/11/2014 na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Sinza Kumekucha.Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi - Amina
10 years ago
VijimamboUPDATES YA MSIBA WA NDG SEBASTINA MGIMBA : MWILI WA MAREHEMU SEBASTIAN MGIMBA WAWASILI NCHINI JANA, MAZIKO KUFANYIKA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
UPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini leo, maziko kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni
![IMG_7879](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/IMG_7879.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-QiFqeBjeCDM/VN35MB31KoI/AAAAAAAAeq0/XCOXA7t76pk/s72-c/IMG-20150213-WA0033.jpg)
TANGAZO LA MSIBA WA NDG ANDREW MICHAEL KUMALILWA (DCP MSTAAFU).
![](http://1.bp.blogspot.com/-QiFqeBjeCDM/VN35MB31KoI/AAAAAAAAeq0/XCOXA7t76pk/s1600/IMG-20150213-WA0033.jpg)
10 years ago
MichuziMWILI WA MPENDWA WETU SEBASTIAN MGIMBA WAPUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wV6KGq_1En8/VhZdddeLtJI/AAAAAAAH9yY/uJZZx7GHjqg/s72-c/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
News alert: Gari lateketea kwa moto mchana huu sinza Kumekucha, dar es salaam
![](http://2.bp.blogspot.com/-wV6KGq_1En8/VhZdddeLtJI/AAAAAAAH9yY/uJZZx7GHjqg/s640/unnamed%2B%252818%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-RK8gFhVvV98/VhZddWWRVNI/AAAAAAAH9yg/4tc4CEQzDcE/s640/unnamed%2B%252819%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-azeldatqtuQ/VhZee5GHH6I/AAAAAAAH9yw/OHOZA0cbfZE/s640/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XGPUELD8rRc/Vaj7E4R03hI/AAAAAAAHqPg/9bHTVbqnxJ8/s72-c/20150717055204.jpg)
UP DATES: MSIBA WA BANZA STONE NYUMBANI KWAO SINZA JIJINI DAR
![](http://4.bp.blogspot.com/-XGPUELD8rRc/Vaj7E4R03hI/AAAAAAAHqPg/9bHTVbqnxJ8/s640/20150717055204.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1alDyW0Btnw/Vaj7E4R0cSI/AAAAAAAHqPk/BEaGxxny6ww/s640/20150717055203.jpg)
Mawasiliano yakiendelea kupeana taarifa na ndugu wengine.
![](http://3.bp.blogspot.com/-AN2gae_650o/Vaj7FAxpV1I/AAAAAAAHqPs/Dc0ubGe0hq0/s640/20150717055205.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vB5vx8zHAEE/U56oMw9twbI/AAAAAAAAj5Q/uUa1pjQyDYA/s72-c/unnamed.jpg)
TANGAZO LA MSIBA
![](http://3.bp.blogspot.com/-vB5vx8zHAEE/U56oMw9twbI/AAAAAAAAj5Q/uUa1pjQyDYA/s1600/unnamed.jpg)
MAZISHI YATAKUWA SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 18/6/2014 SAA 10 JIONI MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM,
IBADA YA MISA ITAFANYIKA KANISA LA KATOLIKI MUHIMBILI SAA 7 MCHANA NA HESHIMA ZA MWISHO ZITATOLEWA HAPO.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA NAMBA...