TANGAZO LA MSIBA WA NDG ANDREW MICHAEL KUMALILWA (DCP MSTAAFU).
![](http://1.bp.blogspot.com/-QiFqeBjeCDM/VN35MB31KoI/AAAAAAAAeq0/XCOXA7t76pk/s72-c/IMG-20150213-WA0033.jpg)
Marehemu Andrew Michael Kumalilwa enzi za uhai wakeFamilia ya Bwana Andrew Michael Kumalilwa inasikitika kutangaza kifo cha wa baba yao mpendwa Bwana Andrew Michael Kumalilwa kilichotokea tarehe 09 Februari 2015 Jijini Dar Es Salaam.Marehemu Andrew Michael Kumalilwa alizaliwa mnamo tarehe 10 Machi 1938 na aliwahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwepo ya Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCP) na msiba upo nyumbani kwake Tabata Segerea na Mazishi yatafanyika Kesho...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSafari ya Mwisho ya DCP Mstaafu wa jeshi la Polisi Tanzania , Mzee Andrew Michael Kumalilwa huko Tabata Segerea.
10 years ago
VijimamboSafari ya Mwisho ya Mzee Andrew Michael Kumalilwa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s72-c/20150529_155841_resized.jpg)
Tangazo la Msiba wa Ndg Sebastian Lukas Mgimba
![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s640/20150529_155841_resized.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s72-c/20150529_155841_resized.jpg)
TANGAZO LA MSIBA WA NDG SEBASTIAN LUKAS MGIMBA WA SINZA KUMEKUCHA
![](http://1.bp.blogspot.com/-8knlF-BCWDw/VWqdp0Rua3I/AAAAAAAAgmQ/Mii9ZK7z2-M/s640/20150529_155841_resized.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-h1bkPDB_KvE/VHQyeRafhzI/AAAAAAAAdCE/ZCaV7BZj8dU/s72-c/IMG-20141124-WA0001.jpg)
TANGAZO LA MSIBA KUTOKA FAMILIA YA NDG SEBASTIAN MGIMBA WA DAR ES SALAAM - TANZANIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-h1bkPDB_KvE/VHQyeRafhzI/AAAAAAAAdCE/ZCaV7BZj8dU/s1600/IMG-20141124-WA0001.jpg)
2Timotheo 4:7 Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza Imani nimeilinda.
Familia ya Ndugu Sebastian Mgimba inasikitika kutangaza kifo cha Mpendwa wao Mathew Sebastian Mgimba kilichotokea Nchini Malaysia tarehe 20/11/2014.
Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuwasili leo tarehe 25/11/2014 na mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Sinza Kumekucha.Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi - Amina
10 years ago
GPLSAFARI YA MWISHO YA DCP MSTAAFU WA JESHI LA POLISI TANZANIA, TABATA SEGEREA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Xim73KoJYBs/VlgEHgmwxhI/AAAAAAAIIjc/a_Q3E0Yrfrk/s72-c/e5e0591f-244e-4b58-95da-20c213e86012.jpg)
MSIBA: HERBERT ANDREW MAGATALA MASANJA AFARIKI DUNIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Xim73KoJYBs/VlgEHgmwxhI/AAAAAAAIIjc/a_Q3E0Yrfrk/s640/e5e0591f-244e-4b58-95da-20c213e86012.jpg)
![](https://ssl.gstatic.com/ui/v1/icons/mail/images/cleardot.gif)
9 years ago
Michuzi31 Dec
TANGAZO LA KUPOTELEWA KWA "DOCUMENT" ZA MERY MICHAEL LASWAI
Vitu hivyo aliibiwa akiwa maeneo ya Boko jijini Dar es Salaam atakayeviona mahari popote pale tunaomba apige simu namba 0754441165 na 0688045999. SHUKRANI.
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
UPDATES ya msiba wa Ndg Sebastina Mgimba: Mwili wa marehemu wawasili nchini leo, maziko kufanyika kesho katika makaburi ya Kinondoni
![IMG_7879](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/IMG_7879.jpg)