Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Safari ya Mwisho ya Mzee Andrew Michael Kumalilwa

 Jeneza lenye Mwili wa marehemu Mzee Andrew Michael Kumalilwa ukiwa tayari kushushwa nyumbani kwake Tabata Segerea ambapo misa ya kumuombea na kutoa heshima za mwisho zilifanyika kabla ya Kwenda kuupumzisha Mwili wake katika Nyumba yake ya Milele.Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wakiwa wamebeba jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa DCP Mstaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania Mzee Andrew Michael Kumalilwa  wakiingia katika nyumba yake iliyopo Tabata Segerea kwaajili ya Misa na ndugu, jamaa na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Safari ya Mwisho ya DCP Mstaafu wa jeshi la Polisi Tanzania , Mzee Andrew Michael Kumalilwa huko Tabata Segerea.

 Baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi Tanzania wakitoa heshima mbele ya jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mzee Andrew Michael Kumalilwa ambae alikuwa mstaafu wa jeshi la Polisi kwa ngazi ya DCP Ndugu wa marehemu akijadiliana jambo na Mmoja wa Askari wa Jeshi la Polisi wakati wa Kutoa Heshima za mwisho kabla ya kwenda kuupumzisha mwili wa Mzee Andrew Kumalilwa ambae alizikwa nyumbani kwake Tabata Segerea tarehe 14 Februari 2015.Mwakilishi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani na Jeshi la Polisi...

 

10 years ago

Vijimambo

TANGAZO LA MSIBA WA NDG ANDREW MICHAEL KUMALILWA (DCP MSTAAFU).

Marehemu Andrew Michael Kumalilwa enzi za uhai wakeFamilia ya Bwana Andrew Michael Kumalilwa inasikitika kutangaza kifo cha wa baba yao mpendwa Bwana Andrew Michael Kumalilwa  kilichotokea tarehe 09 Februari 2015 Jijini Dar Es Salaam.Marehemu Andrew Michael Kumalilwa alizaliwa mnamo tarehe 10 Machi 1938 na aliwahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwepo ya Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Tanzania (DCP) na msiba upo nyumbani kwake Tabata Segerea na Mazishi yatafanyika Kesho...

 

11 years ago

Dewji Blog

Safari ya mwisho ya Mwanasheria Luke Seyayi

005 SAFARI

Mchungaji wa kanisa la AIC  la Magomeni akiongoza ibada maalumu ya kuuaga mwili.

004 SAFARI

Mmoja wa wafanyakazi wenzake akitoa shukurani kwa niaba ya wafanyakazi wenzake.

002 SAFARI

Shemeji yake Marehemu Judith Mtania (katikati)akilia kwa uchungu.

003 SAFARI

Ndugu jamaa na marafiki wakiwa na majonzi wakati wa ibada maalumu ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mwanasheria wa Wizara ya Maliasili na Utalii marehemu Luke Seyayi iliyofanyika katika kanisa la AIC Magomeni.

006 SAFARI

Baadhi ya wafanyakazi wenzake wakitoa heshima za...

 

10 years ago

Michuzi

Safari ya Mwisho ya Mwanamuziki Banza Stone

Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja "Banza Stone" wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi  kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO ZA MAREHEMU MUHIDIN GURUMO

Picha kwa hisani ya…

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MAXMILIAN NGUBE

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Maxmilian John Ngube likiwa kwenye viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam mchana wa leo tayari kwa shughuli ya kuagwa na kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya Kinondoni.Max Ngobe alifariki Dunia mwishoni mwa wiki iliyopita kutoka na maradhi ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu.
Risala fupi ikisomwa wakati wa Shughuli hiyo na Kuangwa kwa Marehemu Max Ngobe mmoja wa wanahabari wakongwe Tanzania.
Wanahabari wakirekodi tukio la kuaga Mwili wa Marehemu...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU AMINA NGALUMA

Waombelezaji wakitoka msikitini tayari kwa kwenda kwenye maziko. Mwili wa marehemu Amina Ngaluma ukishushwa tayari kuingia kaburini kwa maziko, Machimbo Mnarani.…

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA GURUMO DUNIANI LEO

Makamu wa Rais Dk Mohamed Bilal akiwasili nyumbani kwa marehemu Muhidini Gurumo, Makubuli, Ubung, Dar leo asubuhi. Makamu wa Rais, Dk Bilal (Mwenye suti) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana wakiwa msibani leo.…

 

10 years ago

Michuzi

safari ya mwisho ya Mpiganaji Bernard Rwebangira


Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Bernard Rwebangira likiwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kawe,Jijini Dar es salaam leo.Marehemu Bernard Rwebangira aliwahi kuwa Mpiga picha wa Kampuni ya TSN wachapishaji wa Magazeti ya Daily News, Sunday News pamoja na Habari leo.Mungu aiweke roho ya Marehemu mahapa pema Peponi, Amin.
Sehemu ya Ndugu wa Marehemu Bernard Rwebangira wakiwa ni wenye huzuni kubwa kuondokewa na Mpendwa wao, wakati wa Ibada ya kuaga mwili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani