TANGAZO LA KUPOTELEWA KWA "DOCUMENT" ZA MERY MICHAEL LASWAI
MERY MICHAEL LASWAI anatangaza kuibiwa kwa Wallet ikiwa na Nyaraka (Document) nyingi pamoja na Vitambulisho, Leseni ya Uderava, Kadi za Benki na Kadi ya Mpiga kura vyote vikiwa na jina la MERY MICHAEL LASWAI.
Vitu hivyo aliibiwa akiwa maeneo ya Boko jijini Dar es Salaam atakayeviona mahari popote pale tunaomba apige simu namba 0754441165 na 0688045999. SHUKRANI.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6XUNIEO35nk/VNshmx5h75I/AAAAAAAHDBo/flavfRiE_Sk/s72-c/New%2BPicture%2B(1).png)
TANGAZO LA KUPOTELEWA NA MTOTO
![](http://1.bp.blogspot.com/-6XUNIEO35nk/VNshmx5h75I/AAAAAAAHDBo/flavfRiE_Sk/s1600/New%2BPicture%2B(1).png)
DUZE DAVID TUSEKELEGE .
MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA MAMA JOHN TANGU TAREHE 04 JANUARY 2015.
MTOTO HUYO NI MWEUPE WA KIMO CHA WASTANI, TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KATIKA KITUO CHA POLISI KILICHO KARIBU. TAARIFA YA POLISI NI RB 71/2015 YA TAREHE 08/01/2015 AU ATUTAARIFU KWA NAMBA ZA SIMU ZIFUATAZO – 0756 033 340, 0764 504 904 ,...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-QiFqeBjeCDM/VN35MB31KoI/AAAAAAAAeq0/XCOXA7t76pk/s72-c/IMG-20150213-WA0033.jpg)
TANGAZO LA MSIBA WA NDG ANDREW MICHAEL KUMALILWA (DCP MSTAAFU).
![](http://1.bp.blogspot.com/-QiFqeBjeCDM/VN35MB31KoI/AAAAAAAAeq0/XCOXA7t76pk/s1600/IMG-20150213-WA0033.jpg)
10 years ago
Michuzi17 Oct
MSAADA TUTANI; KUPOTELEWA KWA NYARAKA MUHIMU
Jina: Deo Mbasa Vitu vilivyopotea ni begi lililokuwa na;1. Laptop aina ya Accer2. Simu kubwa ya Kirusi aina ya Oysters3. Vyeti vya masomo a) Cheti cha form four - NECTA b) Cheti cha form six - NECTA c) Cheti cha Chuo (Digrii ya Kwanza ya Elimu Jamii na Ualimu) -UDSM4. Vitambulisho mbalimbali ikiwemo kitambulisho cha Taifa.Vyeti na nyaraka zote zinasomeka kwa jina la Deo Mbasa Daudi.Mahali vilipopotelea ni maeneo ya Ofisi ya Posta Kijitonyama, jirani na TBC.Taarifa imetolewa...
9 years ago
MichuziTMT 2015 YAELEWEKA KWA DENNIS LASWAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZfCksCNfKU4/Vdl8CTz0sSI/AAAAAAAAh7w/9Y67CJz9c0c/s640/denis1.jpg)
9 years ago
VijimamboTMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE KIMEELEWEKA KWA DENIS LASWAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZfCksCNfKU4/Vdl8CTz0sSI/AAAAAAAAh7w/9Y67CJz9c0c/s640/denis1.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-F9hpq0MjsrQ/VQpUd2WBhnI/AAAAAAAHLYA/hFkYVbsZLaM/s72-c/unnamed%2B(55).jpg)
TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?
Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta. Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015. Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni. Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...
9 years ago
Michuzi01 Sep
TANGAZO LA KIFO CHA MICHAEL JAPHET MBAGA NA JOHN JAPHET MBAGA
FAMILIA ya marehemu mzee Japhet Mbaga, wa Dar es Salaam kwa masikitiko makubwa inatangaza vifo vya kaka zao wapendwa, MICHAEL NA JOHN JAPHET MBAGA, vilivyotokea hapa DSM siku ya jumapili na jumatatu.
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni.
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika siku hiyo hiyo, saa 7.00 mchana nyumbani kwa Mary Rusimbi (Mkurugenzi Mkuu, WOMEN FUND TANZANIA) eneo la Tabata - shule, nyumba za...
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni, siku ya alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni.
Ratiba ya kutoa heshima za mwisho itafanyika siku hiyo hiyo, saa 7.00 mchana nyumbani kwa Mary Rusimbi (Mkurugenzi Mkuu, WOMEN FUND TANZANIA) eneo la Tabata - shule, nyumba za...
9 years ago
GPLDENNIS LASWAI AIBUKA MSHINDI WA TMT 2015
Mshindi wa TMT msimu wa pili, Dennis Laswai akiruka kwa furaha mara baada ya kutajwa kuwa mshindi. Dennis Laswai akiwa haamini kama kawa mshindi wa TMT.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania