Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANGAZO LA KUPOTELEWA NA MTOTO


DUZE DAVID TUSEKELEGE .


MTOTO WA KIUME DUZE DAVID TUSEKELEGE  MWANAFUNZI WA KIDATO CHA TATU KATIKA SHULE YA SEKONDARI AMKA ILIYOPO IGAWILO UYOLE MKOANI  MBEYA AMETOWEKA NYUMBANI MAENEO YA SOWETO KWA MAMA JOHN TANGU TAREHE 04 JANUARY 2015. 
MTOTO HUYO NI MWEUPE WA KIMO CHA WASTANI, TUNAOMBA MTU YEYOTE ATAKAYE MUONA ATOE TAARIFA KATIKA KITUO  CHA POLISI KILICHO KARIBU. TAARIFA YA POLISI NI RB 71/2015 YA TAREHE 08/01/2015  AU ATUTAARIFU KWA  NAMBA ZA SIMU ZIFUATAZO – 0756 033 340,  0764 504 904 ,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TANGAZO LA KUPOTELEWA KWA "DOCUMENT" ZA MERY MICHAEL LASWAI

MERY MICHAEL LASWAI anatangaza kuibiwa kwa Wallet ikiwa na  Nyaraka (Document) nyingi pamoja na Vitambulisho, Leseni ya Uderava, Kadi za Benki na Kadi ya Mpiga kura vyote vikiwa na jina la  MERY MICHAEL LASWAI.
Vitu hivyo aliibiwa akiwa maeneo ya Boko jijini Dar es Salaam atakayeviona mahari popote pale tunaomba apige simu namba 0754441165 na 0688045999. SHUKRANI.

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO TANGAZO TANGAZO Je Unataka kujifunza jinsi ya kuanzisha,kuendesha na kusimamia biashara yako?

Tanzania Zalendo wanakuleta Mhadhara wa Jinsi ya KUANZISHA, KUENDESHA na KUDUMU katika biashara. UKUMBI ni Alliance Francaise shuka kituo cha RED CROSS kuelekea Posta.  Siku ya JUMAMOSI tarehe 21/03/2015.  Muda Ni saa Nane 8 mchana Mpaka saa Kumi Jioni.  Utajifunza jinsi ya kuanzisha ,kuendesha na kusimamia biashara kutoka kwa mtaalam wa masuala ya biashara Mhadhiri wa kikuu cha Dar es salaam Dr Muhsin Masoud wa shule ya Biashara. Mafunzo haya ni BURE  Kwa mawasiliano zaidi piga 0787 66 99...

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA MSIBA WA MTOTO ELIEWAHA KAJIRU MROKI

Ndugu Fredricky Kajiru Mroki wa Kipera-Kinyenze Morogoro, anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake Eliewaha Kajiru (Pichani) kilichotokea alfajiri ya leo Nyumbani kwakwe Kipera. 
Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa Bibi yake Kinyenze, Mvomero Morogoro. Habari ziwafikie, Baba Mkubwa wa Marehemu, Lloyd Atenaka wa Kibaha Block B, Baba wadogo wa Marehemu, Dossa Mroki, Onesmo Nathan, Thomas Nathan, Daniel Nathan, Kyase Nathan na Mroki Mroki. Shangazi wa Marehemu, Stella Kaluse na...

 

9 years ago

Dewji Blog

TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba  zimebana kiasi  hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.

Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.

Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI; KUPOTELEWA KWA NYARAKA MUHIMU

Jina: Deo  Mbasa Vitu vilivyopotea ni begi lililokuwa na;1. Laptop aina ya Accer2. Simu kubwa ya Kirusi aina ya Oysters3. Vyeti vya masomo     a) Cheti cha form four - NECTA     b) Cheti cha form six - NECTA     c) Cheti cha Chuo (Digrii ya Kwanza ya Elimu Jamii na Ualimu) -UDSM4. Vitambulisho mbalimbali ikiwemo kitambulisho cha Taifa.Vyeti na nyaraka zote zinasomeka kwa jina la Deo Mbasa Daudi.Mahali vilipopotelea ni maeneo ya Ofisi ya Posta Kijitonyama, jirani na TBC.Taarifa imetolewa...

 

11 years ago

GPL

MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.‏

Huyu ndiye Mama mkubwa wa mtoto Adolotea Nyavike Bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana wakati wasamalia wema wakitaka kutoa misaada kwa nototo huyo. Mtoto Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili…

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mtoto wa Lamar (Nisha) na mtoto wa Gelly wa Rhymes (Queen) nani mrembo zaidi?

Producer wa Fishcrab, Lamar na muimbaji Gelly wa Rhymes, ni miongoni mwa mastaa wenye watoto. Bahati nzuri wawili hao wana watoto wa kike warembo kweli kweli. Na sasa tunakuuliza, nani mrembo zaidi? Nisha wa Lamar au Queen wa Gelly? Queen Nisha Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani