Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TMT 2015 YAELEWEKA KWA DENNIS LASWAI

Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke, Denis Laswai akiwa ameinua mikono juu kuashiria ishara ya kumshukuru Mungu Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke msimu wa pili katika fainali iliyofanyika usiku wa kumkia leo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar Es Salaam.Mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke Denis Laswai kutoka Kanda ya Kaskazini Arusha akiruka juu kwa furaha mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita cha Shilingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

DENNIS LASWAI AIBUKA MSHINDI WA TMT 2015

Mshindi wa TMT msimu wa pili, Dennis Laswai akiruka kwa furaha mara baada ya kutajwa kuwa mshindi. Dennis Laswai akiwa haamini kama kawa mshindi wa TMT.…

 

9 years ago

Vijimambo

TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE KIMEELEWEKA KWA DENIS LASWAI

Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke, Denis Laswai akiwa ameinua mikono juu kuashiria ishara ya kumshukuru Mungu Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke msimu wa pili katika fainali iliyofanyika usiku wa kumkia leo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar Es Salaam.Mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke Denis Laswai kutoka Kanda ya Kaskazini Arusha akiruka juu kwa furaha mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita cha Shilingi...

 

9 years ago

Mtanzania

Dennis akomba milioni 50/- za TMT

DENNISUKILALA masikini unaamka tajiri, ndivyo ilivyokuwa kwa mwigizaji chipukizi, Denis Lwasai, aliyewahi kufanyakazi na marehemu Steven Kanumba, baada ya usiku wa kuamkia jana kuibuka na kitita cha shilingi milioni 50 alizopata baada ya kuibuka mshindi katika shindano la Tanzania Movie Talent (TMT).

Katika shindano hilo, washiriki 10 waliingia fainali na kisha kuchezeshwa wawili wawili katika igizo lililokuwa likionyesha unyenyekevu wakati wa kuomba kazi. Hata hivyo, washiriki wote 10 wataigiza...

 

9 years ago

Vijimambo

MSHINDI WA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo
 Wakiendelea kumpongeza Wakitoa Mkono wa pongezi kwa mshindi wakati akipita kuelekea nyumbani kwao Akipongezwa na wadau wake Kwa hisia huku...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA JIJI LA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUSHIRIKI SHINDANO LA TMT 2015

   Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha
Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza
Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin...

 

9 years ago

Michuzi

MSHINDI WA TMT 2015 MPAKA KIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi. Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo.
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.



 

9 years ago

GPL

MSHINDI WA TMT 2015 MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI‏

Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wa Mshindi wa Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai wakiwa na bango linalomwelezea mahindi huyo wakati walipojitokeza kumpokea wakati akirejea nyumbani kwao Mambogini Moshi   Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke Dennis Lwasai akiwasalimia wakazi wa mji wa Moshi waliokuwa wakimpongeza wakati akirejea kwao Mambo… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wa Jiji la Dar Wajitokeza kwa wingi kushiriki Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke

 

Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha.

Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza.

_E9A5577

Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waendeshaji wa shindano hilo katika viwanja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani