TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE KIMEELEWEKA KWA DENIS LASWAI
Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke, Denis Laswai akiwa ameinua mikono juu kuashiria ishara ya kumshukuru Mungu Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke msimu wa pili katika fainali iliyofanyika usiku wa kumkia leo katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar Es Salaam.
Mshindi wa shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke Denis Laswai kutoka Kanda ya Kaskazini Arusha akiruka juu kwa furaha mara baada ya kutangazwa Mshindi wa Kitita cha Shilingi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTMT 2015 YAELEWEKA KWA DENNIS LASWAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZfCksCNfKU4/Vdl8CTz0sSI/AAAAAAAAh7w/9Y67CJz9c0c/s640/denis1.jpg)
9 years ago
VijimamboMSHINDI WA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI
9 years ago
GPLMSHINDI WA TMT 2015 MPAKAKIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Wakazi wa Jiji la Dar Wajitokeza kwa wingi kushiriki Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke
Baadhi ya wafanyakazi wa TMT wakiwahudumia watanzania waliojitokeza kwaajili ya kushiriki shindano la TMT 2015 kwa furaha.
Baadhi ya washiriki wakisubiria kuingia kwa majaji tayari kwa kuonyesha uwezo wao wa kuigiza.
Baadhi ya vijana waliojitokeza kwaajili ya usajili wa kushiriki shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) 2015 #mpakakieleweke wakisikiliza maelekezo kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waendeshaji wa shindano hilo katika viwanja...
9 years ago
GPLDENNIS LASWAI AIBUKA MSHINDI WA TMT 2015
10 years ago
VijimamboNani kuaga Shindano la TMT 2015 #mpakakieleweke Wiki hii?
10 years ago
GPLNANI KUAGA SHINDANO LA TMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE WIKI HII?
9 years ago
VijimamboFainali TMT 2015 #mpakakieleweke kufanyika tarehe 22 August Makumbusho ya Taifa Posta.
9 years ago
MichuziMSHINDI WA TMT 2015 MPAKA KIELEWEKE APOKELEWA KWA NDEREMO MJINI MOSHI
Picha zote na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.