Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEHEMU YA HOTUBA YA KINANA KATORO MKOANI GEITA


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KINANA AHUTUBIA MKUTANO WA KIHISTORIA KATORO MKOANI GEITA


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Katoro mkoani Geita ambapo aliwaambia wananchi hao mwekezaji mzuri nchi wa kwanza ni mwananchi mwenyewe, pia alizungumzia sheria ambazo  nyingi zinazowakadamiza wananchi,zinapoteza nguvu kazi,zinawanyima haki wachimbaji wadogo zapaswa kufutwa.


 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Katoro waliojitokeza kwa wingi ,Katika mkutano huo Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi aliwaambia wakazi hao vyama vingi vya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AUNGURUMA WILAYANI BUSANDA NA MJI MDOGO WA KATORO MKOANI GEITA LEO.



  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.
Ndugu Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia utekelezaji...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA KINANA KATORO, GEITA WAVUNJA REKODI YA WATU

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Mji Mdogo wa Katoro, wakati wa ziara Jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Geita, ambapo aliwaahidi wachimbaji wadogo wadogo kulitafutia ufumbuzi wa kuwapatia vitalu vya machimbo eneo la Nyarugusu linalomilikiwa na Stamico, wilayani Geita.

Komredi Kinana ambaye ameambatana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, yupo mkoani Geita kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kusimamia...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI ATIKISA MJI MDOGO WA KATORO MCHANA HUU MKOANI GEITA

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita mapema leo mchana kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo maelfu ya Wananchi wamehudhuria Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwandani Wagombea Ubunge wa jimbo la Bukombe na Chato mapema mchana huu alipokuwa akiwahutubia wananchi wa mji mdogo wa Katoro mkoani Geita, kwenye viwanja vya mnada wa Ng'ombe,katika mkutano wa hadhara wa...

 

10 years ago

GPL

KINANA ASHAMBULIA JIMBO LA BUSANDA MKOANI GEITA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana akisalimia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara alifanya katika mji mdogo wa Katoto, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika mkoa wa Geita, jana, Juni 19, 2015. Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM uliofurika maelfu ya wananchi katika mji mdogo wa Katoro, katika  mkoa wa Geita,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani