Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEHEMU YA VIDEO YA NAPE ALIPOZUNGUMZA NA WAHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA YA GAZETI LA MTANZANIA SIO SAHIHI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard Membe (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Makanisa ya Wasabato (SDA) wakati wa siku ya ufungaji wa Kongamano hilo lililofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la kila siku la Mtanzania tarehe 9 Februari, 2015, kuna taarifa yenye kichwa cha habari inayosemeka kuwa, “Membe adaiwa kutetea mtandao wa kifisadi”. Taarifa ya Mtanzania inadai Mheshimiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Gazeti la Mtanzania: Kumradhi Wema Sepetu

“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za...

 

10 years ago

CloudsFM

Gazeti la Mtanzania lamuomba radhi Wema Sepetu

JANA kupitia 255 ya XXL ulisikia stori liyokuwa ikimuhusu Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu na aliyekuwa mpenzi wake Diamond ikilihusu gazeti la Mtanzania ambalo lilichapisha habari hiyo ikidai kuwa Wema alikuwa akimdai Diamond zaidi ya shs mill.10 ambayo aliikopa Vikoba.Kupitia tovuti ya gazeti lao wamemuomba radhi Wema Sepetu kwa kuchapisha habari hiyo ambayo waliandika hivi:-

"Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No.7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika stori yenye kichwa cha...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE ATEMBELEA GAZETI LA MAJIRA



 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye (kushotia), akisalimiana na Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Business Times, Imma Mbuguni, alipowasili katika Ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam,  akiwa katika mwendelezo wa ziara ya vyombo vya habari aliyoaianza wiki iliyopita .
 Nape akimsalimia Meneja Uhusiano wa Business Times Ltd, Julieth Lamosai, baada ya kutambulishwa kwake na Mbunguni wakati wa ziara hiyo
 Nape akienda na Mbunguni kwenye ukumbi kwa ajili ya mazungumzo
 nape...

 

10 years ago

Michuzi

Mhariri Gazeti la MTANZANIA akabidhi vyeti Shule ya Salma Kikwete

WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kutambua wajibu kwa kuhakikisha wanawekeza kwenye elimu kwa watoto wao.
Wito huo ulitolewa Dar es Salam na Mhariri Msanifu wa gazeti la MTANZANIA, Khamis Mkotya alipokuwa akizungumza katika mahafali ya tano ya Jumuiya ya wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete.
Mkotya ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo ambapo alisema ni lazima jamii ikubali kuondokana na kulalamika na badala yake iandae mazingira mazuri ya watoto wao...

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE AMALIZA MGOGORO GAZETI LA UHURU


 Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kushoto), akigana na wafanyakazi wa kampuni ya Uhuru Publications Ltd (UPL), inayochapicha magazeti ya Uhuru na Mzalendo waliofika kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya mazungumzo naye na baadae kuapata muafaka kufuatia mgogoro uliokuwa ukifukuta katika kampuni hiyo.
  Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (wa pili kushoto), akifurahia...

 

9 years ago

Michuzi

NAPE ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.
Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa kampuni ya Magazeti ya Raia Mwema.

KATIBU wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA,DODOMA

 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM,Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa.(Picha na Ramadhan Hassan)Mhariri Msanifu wa gazeti la mtanzania Khamis Mkotya akionesha fomu alizokadhiwa jana katika ofisi za chama hicho Wilayani Kondoa za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge katika Jimbo la Chemba. (Picha...

 

10 years ago

GPL

MHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA, KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA NA NKAMIA JIMBO LA CHEMBA, DODOMA‏

 Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika Wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa wilaya hiyo CCM, Asia Mohammed jana katika ofisi za chama hicho wilayani Kondoa. …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani