Gazeti la Mtanzania lamuomba radhi Wema Sepetu
JANA kupitia 255 ya XXL ulisikia stori liyokuwa ikimuhusu Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu na aliyekuwa mpenzi wake Diamond ikilihusu gazeti la Mtanzania ambalo lilichapisha habari hiyo ikidai kuwa Wema alikuwa akimdai Diamond zaidi ya shs mill.10 ambayo aliikopa Vikoba.
Kupitia tovuti ya gazeti lao wamemuomba radhi Wema Sepetu kwa kuchapisha habari hiyo ambayo waliandika hivi:-
"Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No.7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika stori yenye kichwa cha...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Jan
Gazeti la Mtanzania: Kumradhi Wema Sepetu
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/WEMA_SEPETU789.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 Jan
Gazeti la Mtazania:Kumradhi Wema Sepetu
“Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za...
9 years ago
Bongo504 Nov
Wema Sepetu awa Mtanzania wa pili kufikisha followers milioni 1 kwenye Instagram
![11385131_915960011829242_1002926144_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11385131_915960011829242_1002926144_n-300x194.jpg)
Wema Sepetu amekuwa mtanzania wa pili kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram.
Mrembo huyo anachukua nafasi hiyo baada ya ex wake, Diamond Platnumz kufikisha idadi hiyo wiki kadhaa zilizopita. Hata hivyo tofauti yao ni kuwa account ya Diamond iko verified.
Hatua hiyo imekuja siku mbili tu baada ya Wema kuangusha birthday party iliyohudhuriwa na mastaa wote wa orodha A nchini. Pia alizindua brand zake za vipodozi zikiwemo lipstick za Kiss by Wema Sepetu.
Mastaa wengine...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo10 Feb
TAARIFA YA GAZETI LA MTANZANIA SIO SAHIHI
![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/02/314.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard Membe (aliyesimama katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Makanisa ya Wasabato (SDA) wakati wa siku ya ufungaji wa Kongamano hilo lililofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kwenye ukurasa wa mbele wa gazeti la kila siku la Mtanzania tarehe 9 Februari, 2015, kuna taarifa yenye kichwa cha habari inayosemeka kuwa, “Membe adaiwa kutetea mtandao wa kifisadi”. Taarifa ya Mtanzania inadai Mheshimiwa...
9 years ago
CCM Blog![](http://img.youtube.com/vi/i2tlzEC7VRs/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
MichuziMhariri Gazeti la MTANZANIA akabidhi vyeti Shule ya Salma Kikwete
Wito huo ulitolewa Dar es Salam na Mhariri Msanifu wa gazeti la MTANZANIA, Khamis Mkotya alipokuwa akizungumza katika mahafali ya tano ya Jumuiya ya wanafunzi wa Kiislamu wa Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete.
Mkotya ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo ambapo alisema ni lazima jamii ikubali kuondokana na kulalamika na badala yake iandae mazingira mazuri ya watoto wao...