Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seif aipinga ZEC, ataka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amesema hakubaliani na maamuzi ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha kufuta matokeo yote ya uchaguzi na kuahirisha uchaguzi huo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC ataka kanisa kuendeleza ardhi,wananchi wamuomba Rais kuingilia kati

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wananchi wa kijiji cha Magoda halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa na mkuu wa wilaya Ruth Msafiri wa kuliachia kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT dayosisi ya kusini, ardhi yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 580 kwa madai ya kwamba hawana sifa kisheria za umiliki wa eneo hilo.

Kufuatia agizo hilo ambalo limetolewa mbele ya mkutano wa hadhara, wananchi wanasema wanafikiri kwenda kuitafuta haki yao katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Lipumba aibukia ofisi za CUF, ataka JK aingilie kati suala za ZEC

Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemwomba Rais Jakaya Kikwete kuiamuru Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar  (ZEC ) kumtangaza mshindi wa uchaguzi wa uliofanyika Zanzibar ili kuipusha nchi kuingia katika machafuko.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali afungua Mkutano wa Kimataifa wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufungua rasmi Mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaofanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel & Suites Shinei Bay Mjini Haikou Jimboni Hainan.  Gavana wa Jimbo la Hainan Bwana Jian Dingzhi akitoa neno la makaribisho kwa wajumbe wa mkutano wa Tano wa Ushirikiano kati ya China na Afrika unaoendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Days Hotel i& SuitesShiney Bay Mjini Haikou. Meya Wa Manispaa ya Zanzibar...

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK aombwa kuingilia kati fidia Mloganzila

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa kauli kwa umma kuhusu fidia ya ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwembe, eneo la Mloganzila...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC aombwa kuingilia kati mgomo wa wananchi

MKUU wa Wilaya (DC) ya Hanang’, Christine Mndeme, ameombwa kuingilia kati suala la wananchi wa Kata ya Endasak kugoma kuchangia ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari ya kata yao....

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati

Rais wa Yemen ameliomba baraza la usalama la umoja wa mataifa kuidhinisha hatua za kijeshi dhidi ya kundi la waasiwa houthi

 

11 years ago

Habarileo

Dk Slaa amtaka JK kuingilia kati unyanyasaji wananchi

Dk Willibrod SlaaKATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Willibrod Slaa ameitaka Serikali ikomeshe unyanyasaji na ukatili dhidi ya wananchi.

 

11 years ago

Mwananchi

NLD Zanzibar wamtaka Msajili kuingilia kati uteuzi

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi ametakiwa kutoa ufafanuzi wa kisheria kama upo uwezekano wa chama cha siasa kupata usajili iwapo ombi la chama husika kusajiliwa kisheria bila ya uwakilishi wa wadhamini wa wanachama kutoka pande mbili za Tanzania.

 

9 years ago

Habarileo

ACT-Wazalendo yaomba Tanzania kuingilia kati Burundi

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeiomba Serikali ya Tanzania kuingilia kati mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Burundi na kusababisha machafuko. Taarifa iliyotolewa na Katibu wa Kamati ya Mambo ya Nje ya ACT -Wazalendo, Venance Msebo, imesema kuwa chama hicho kinasikitishwa na mauaji yanayoendelea nchini humo hasa mjini Bujumbura.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani