Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seif Sharif Hamadi amtembelea mtangazaji wa Radio Noor FM Mnazi Mmoja Hospital alipolazwa

DSC_1964

Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Pichani akiwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa matipabu ambapo amepata Ajali na kukatika mguu mmoja na mwengine kuumia pamoja na mkono ajali iliyosababishwa na hitilafu ya umeme katika Studio  Masjid Swahaba Mtoni Zanzibar, aliumia baada ya kujirusha kutoka Juu ya Ghorofa Moja.

DSC_1965

Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamad akisalimiana na Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Iddi atemblea Wagonjwa Hospital ya Mnazi Mmoja,Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikal ya Mapinduzi ya Zanzibar ina nia ya kutaka kujenga Wodi maalum kwa ajili ya kulazwa watoto wadogo wanaopatwa na majanga mbali mbali ya kuunguwa kwa moto.
Balozi seif alisema hayo wakati alipofanya ziara fupi ya kukagua watoto walioungua moto ambao wamelazwa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar mara baada ya kumalizika kwa kilele cha maadhimisho ya kutimia miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAALIM SEIF SHARIF HAMADI IKULU JIJINI DAR LEO

maa1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha  Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya  Mazungumzo kuhusu hali ya kisiasa ya  Zanzibar. Katika Mazungumzo hayo viongozi wote wamefurahishwa na hali ya usalama na utulivu inayoendelea.maa2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Maalim Seif Sharif Hamad ,Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

CALL FOR PARTNERSHIP PROPOSED REHABILITATION OF MNAZI MMOJA HOSPITAL PARK AND THE BUS (DALADALA) TERMINAL

smzsmall

REVOLUTIONARY GOVERNMENT OF ZANZIBARMINISTRY OF HEALTH


Mnazi Mmoja hospital is situated in Stone town in the Urban West Region of Zanzibar. It is the only referral hospital that receives and manages various patients who come from all over Zanzibar seeking medical aid. Currently, the hospital has been expanded to the capacity of 500 beds andserves for both outpatient & in-patient services and operates 24hours daily. Following the new expansion, there has been an increase in demand for hospital...

 

11 years ago

Michuzi

NORWAY NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI UJENGWAJI WA WODI MPYA YA WATOTO HOSPITAL YA MNAZI MMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Kikuu cha Helse Bergen kiliopo Haukelang Norway Dkt. Stener Kvinnsland wakitia saini makubaliano ya ujenzi wa Wodi mpya ya watoto eneo la Mnazi mmoja wakishuhudiwa na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik alieva miwani. Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik akizungumza na viongozi wa Wizara ya Afya waliongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi mara baada ya utiaji...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFANYA ZIARA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif msongamano wa watoto wanaoungua moto ambao hulazimika kulazwa wagonjwa watatu kwa kitgand kimoja.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto.Pembeni ya Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AFUNGUA ICU HOSPITALI YA MNAZI MMOJA,ZANZIBAR

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Balozi mdogo wa China aliyepo Zanzibar Bw. Xie Yun Liang, wakifurahi baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea wodi mpya ya wagonjwa mahututi (ICU), katika hospitali ya Mnazi Mmoja, baada ya kuifungua rasmi.
BOFYA HAPA KWA PICHA NA HABARI KAMILI

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AWATEMBELEA NA KUWAPA POLE MAJERUHI TISA WALIOLAZWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimkagua na kumpa Pole Kijana Said Ali Juma Mkaazi wa Sogea aliyelazwa chumba cha wagonjwa Mahututi baada ya kupata ajali ya gari akitokea katika Mkutano wa Kampeni ya Uchaguzi Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. Kushoto ya Balozi Seif ni Darkati wake Dr. Juma Salum Mambi.Balozi Seif akimfariji Bwana Ramadhan Hussein Masoud Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja ambako amelzwa baada ya Garei alilokuwa akisafiria kutoka katika Mkutano wa Kampeni ya...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif akabidhi kompyuta kwa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi kompyuta kwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya Al-Noor Charitable Agency, Sheikh Nadir Mahfoudh kwa ajili ya Radio Al-Noor ilipata ajali ya kuungua moto mwezi April mwaka huu. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi kompyuta kwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya Al-Noor Charitable Agency, Sheikh Nadir Mahfoudh nyumbani kwake Mbweni, kwa ajili ya Radio Al-Noor iliyopata ajali ya kuungua...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani