Maalim Seif akabidhi kompyuta kwa Jumuiya ya Al-Noor Charitable Agency
.jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi kompyuta kwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya Al-Noor Charitable Agency, Sheikh Nadir Mahfoudh kwa ajili ya Radio Al-Noor ilipata ajali ya kuungua moto mwezi April mwaka huu.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi kompyuta kwa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya Al-Noor Charitable Agency, Sheikh Nadir Mahfoudh nyumbani kwake Mbweni, kwa ajili ya Radio Al-Noor iliyopata ajali ya kuungua...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMAALIM SEIF AKABIDHI MSAADA WA MAAFA
11 years ago
Dewji Blog12 Apr
Seif Sharif Hamadi amtembelea mtangazaji wa Radio Noor FM Mnazi Mmoja Hospital alipolazwa
Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Pichani akiwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa matipabu ambapo amepata Ajali na kukatika mguu mmoja na mwengine kuumia pamoja na mkono ajali iliyosababishwa na hitilafu ya umeme katika Studio Masjid Swahaba Mtoni Zanzibar, aliumia baada ya kujirusha kutoka Juu ya Ghorofa Moja.
Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamad akisalimiana na Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM...
10 years ago
Michuzi
MAALIM SEIF NA MH. LOWASSA WAKUTANA KWA MAZUNGUMZO


9 years ago
Mwananchi14 Nov
Lowassa, Maalim Seif wateta kwa dakika 90
10 years ago
Mwananchi11 Oct
Maalim Seif aahidi ajira kwa vijana
10 years ago
Vijimambo
MH. LOWASSA AKUTANA NA MAALIM SEIF KWA MAZUNGUMZO


11 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Maalim Seif: CUF jipange kwa uchaguzi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kuanzisha mitandao ya kupeana taarifa kuhamasishana na kusaidiana kutafuta vitambulisho vya kupigia...
10 years ago
Vijimambo19 Oct
11 years ago
Michuzi
Balozi Seif akabidhi kadi kwa wanachama wapya 15 wa CCM Mkoa wa Magharibi,Zanzibar

.jpg)