Sekretarieti ya Maadili kuhakiki viongozi 300
Dar es Salaam. Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kuchunguza kwa kuzifanyia uhakiki mali za viongozi 300 katika mwaka wa fedha wa 2013/14.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Wajumbe wa Baraza la Maadili wafanya Ziara Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma


11 years ago
Michuzi
Watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma wahimizwa kuzingatia Maadili.
10 years ago
GPL
SAKATA LA ESCROW: ANDREW CHENGE AMEKATAA KUHOJIWA NA BARAZA LA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA
11 years ago
Michuzi
Wananchi wahimizwa kutembelea Banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
Wananchi wamehimizwa kutembelea banda la Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Wito huo umetolewa na Afisa wa Maadili Mwandamizi Bw. Bazilio Mwanakatwe wakati akizungumza na Waandishi wa Habari waliotembelea banda la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika maonesho hayo.
Bw. Mwanakatwe aliendelea kubainisha kuwa...
10 years ago
Michuzi
Sekretarieti ya Maadili waendesha mafunzo ya Maadili kwa maafisa waandamizi wa Polisi Zanzibar
Mafunzo hayo yana lengo la kuwasaidia watendaji hao wa Jeshi la Polisi walioko Zanzibar kuweza kuondokana na changamoto nyingi za uvunjifu wa maadili ambazo watendaji hao wamekuwa wakikabiliana nazo.
Mafunzo hayo pia yana lengo la kuwakumbusha watendaji hao jinsi...
10 years ago
StarTV04 Mar
Sekretarieti ya Maadili yamhoji William Ngeleja.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Baraza la Tume ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma limempandisha kizimbani Mbunge wa Sengerema William Ngeleja akiwa miongoni mwa viongozi wanaodaiwa kuhusika na kashfa ya uchotwaji wa fedha kwenye akaunti ya Tegeta Escrow.
Ngeleja anafikisha idadi ya viongozi wanne waliokwishahojiwa na tume hiyo baada ya majina yao kupendekezaw na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali PAC ambapo katika hati ya mashtaka anadaiwa kupokea zaidi ya shilingi...
9 years ago
Michuzi
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira watakiwa kuzingatia Maadili

9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira nchini watakiwa kuzingatia Maadili!!
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki akipata maelezo kutoka kwa watendaji wa Sekretarieti ya ajira (hawapo pichani) alipofanya ziara katika ofisi hiyo, mapema leo Desemba 29.
Na Kassim Nyaki, Afisa Mawasiliano Sekretarieti ya Ajira
Watumishi wa Sekretarieti ya Ajira wameaswa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma katika kutekeleza majukumu yao, kwa kuwa kazi wanayoifanya ni nyeti na inagusa maisha ya watu ambayo itahitaji watu...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mashahidi walieleza Baraza la Maadili jinsi Mkuu wa Wilaya ya Korogwe alivyokiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma.