Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sekta binafsi yakaribisha wawekezaji wa China

  Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (kushoto) akielezea jambo kwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (katikati) na Mkurugenzi Mstaafu wa TIC na pia Balozi wa heshima wa Botswana hapa nchini, Eng. Emmanuel Ole Naiko wakati wa kongamano la pili la biashara kati ya Tanzania na China lililomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakaribisha wawekezaji binafsi kwenye sekta ya uchukuzi

1

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni mjini Dodoma jana.

2

Mbunge wa Kisarawe (CCM) Bw. Suleiman Jafo akichangia mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi jana bungeni mjini Dodoma.

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwezeshaji Bi. Mary Nagu akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Bw. Lazaro Nyalandu kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. (PICHA ZOTE NA FATMA SALUM – MAELEZO).

Na Fatma Salum – Maelezo

Serikali kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

Ubunifu wa BRN wavutia wawekezaji sekta binafsi


Mkutano wa kwanza wa aina yake ulioandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umefanikiwa kuwakutanisha mahali pamoja wawekezaji wakubwa kutoka mataifa mbalimbali ili kujionea fursa za uwekezaji katika miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele katika Mpango huo.BRN ni Mpango ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania tangu Julai mosi, 2013 kwa lengo la kuchagua sekta chache za kipaumbele na kuweka mfumo madhubuti unaoweka malengo na muda wa utekelezaji wa kila mradi huku mawaziri husika wakiwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

AICC yakaribisha wawekezaji

KITUO cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha, (AICC), kimesema kinamiliki maeneo makubwa ya ardhi hivyo kutoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuyatumia kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo...

 

11 years ago

Michuzi

MKUTANO WA WADAU WA UHAMASISHAJI WA UBIA BAINA YA SEKTA YA UMMA NA SEKTA BINAFSI (PPP) KATIKA SEKTA AFYA MKOANI RUKWA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akifungua rasmi mkutano wa wadau wa uhamasishaji wa ubia baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi PPP - ("Public and Private Partnership") katika Sekta ya Afya uliofanyika leo katika ukumbi wa Hospitali Kuu ya Mkoa wa Rukwa. Katika hotuba yake ya ufunguzi amesema ili kufikia lengo kuu la millennia ifikapo mwaka 2015 la kupunguza vifo vya watoto, akina mama wajawazito na kuweza kudhibiti magonjwa yanayoambukiza na yasiyoambukiza pamoja na kuboresha...

 

5 years ago

Michuzi

SEKTA BINAFSI YACHANGIA SERIKALI BILIONI 2.1 KWA AJILI YA KUBORESHA SEKTA YA AFYA


Na. WAMJW-DSM

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kiasi cha shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya kuboresha huduma za afya kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini kutoka kwa wadau wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF).

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameishukuru TPSF kwa uratibu wao kwa sekta binafsi kuchangia vifaa tiba hivyo ili vituo vya afya kuwa na vifaa muhimu vya kutolea...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI ,SEKTA BINAFSI WATAKIWA KUKAA NA KUBUNI MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA MUHIMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA UGONJWA WA CORONA


Na Woinde Shizza,ARUSHA

SERIKALI pamoja na sekta binafsi zimetakiwa kukaa pamoja ili kubuni mikakati ya namna ya kuendesha sekta muhimu za uchumi kama vile sekta ya utalii ,sekta ya usafirishaji ,sekta ya kilimo ,sekta ya nishati pamoja na ufugaji bila kungoja kuisha kwa janga la Corona 19.

Hayo yamebainishwa na Mtendaji mkuu wa marafiki wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Moses Adam wakati akizungumza na Michuzi Tv ambapo alisema wanatakiwa kuja na njia mbadala endelevu zitakazoendelea ...

 

5 years ago

Michuzi

MGALU AITAKA EWURA KUHARAKISHA UANDAAJI KANUNI KWA WAWEKEZAJI BINAFSI WA UMEME


Hafsa Omar-PwaniNAIBU Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, imeitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma  ya Nishati na Maji(EWURA) kuharakisha uandaaji wa kanuni ambazo zitatumika kudhibiti bei za umeme ambazo zitatumiwa na wawekezaji binafsi wa umeme nchini.

Ameyasema hayo, Februari 20,2020 wakati alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya wananchi ambao walikuwa wakilalamikia bei kubwa ya umeme wanaotozwa na Mkandarasi wa kampuni ya Husk Power iliyopo katika kijiji cha Matipwili kata Mkange, Wilaya ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wawekezaji wapongezwa kuimarisha sekta ya afya

WAWEKEZAJI wamepongezwa kwa kushirikiana na jamii katika kujenga miradi mbalimbali ambayo itasaidia kuleta maendeleo na kuimarisha Sekta ya Afya. Kauli hiyo ilitolewa na Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Iddi alipofungua hospitali ya kisasa ya akinamama wajawazito katika eneo la Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ichangie sekta binafsi

Enzi za Azimio la Arusha, njia zote kuu za uchumi zilimilikiwa na Serikali. Hivyo usafirishaji, shughuli za kibenki, hospitali, shule, posta, simu, maduka, viwanda na kadhalika, vyote vilimilikiwa na Serikali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani