Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AICC yakaribisha wawekezaji

KITUO cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha, (AICC), kimesema kinamiliki maeneo makubwa ya ardhi hivyo kutoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuyatumia kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Sekta binafsi yakaribisha wawekezaji wa China

  Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Dk. Reginald Mengi (kushoto) akielezea jambo kwa Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Prof. Lucian Msambichaka (katikati) na Mkurugenzi Mstaafu wa TIC na pia Balozi wa heshima wa Botswana hapa nchini, Eng. Emmanuel Ole Naiko wakati wa kongamano la pili la biashara kati ya Tanzania na China lililomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. HABARI ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yakaribisha wawekezaji binafsi kwenye sekta ya uchukuzi

1

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta akiwasilisha bajeti ya wizara yake kwa mwaka 2015/2016 bungeni mjini Dodoma jana.

2

Mbunge wa Kisarawe (CCM) Bw. Suleiman Jafo akichangia mjadala wa bajeti ya wizara ya uchukuzi jana bungeni mjini Dodoma.

3

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwezeshaji Bi. Mary Nagu akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii Bw. Lazaro Nyalandu kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. (PICHA ZOTE NA FATMA SALUM – MAELEZO).

Na Fatma Salum – Maelezo

Serikali kupitia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF yakaribisha wanachama wa hiari

MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umewashauri Watanzania wenye kazi na vipato tofauti kujiunga na mfuko huo chini ya mpango wa hiari. Akizungumza na waandishi wa habari wakati...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSPF yakaribisha maombi mikopo ya nyumba

MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), umewataka wajasiriamali waliojiunga kupitia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari (PSS) kuanza kukopa nyumba zinazojengwa na mfuko huo. Akizungumza  na Tanzania Daima jana...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Uongozi wa AICC ‘waingizwa mjini’


NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
UONGOZI wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), umeishitaki bodi yake ya zamani kwa kumega viwanja viwili na kuvimilikisha kwa wamiliki wengine kinyemela.
Umesema viwanja hivyo kwa sasa vimejengwa majengo makubwa ikiwemo hoteli ya kisasa na kanisa.
Mkurugenzi wa Miliki na Miradi wa AICC, Paul Ndosa, alitoa shutuma hizo mbele ya bodi mpya huku akisema kuwa madudu hayo yalifanywa miaka iliyopita na kwamba hakuna taarifa zozote.
Alisema maeneo yaliyomegwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi AICC afukuzwa kazi

BODI ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mikutano ya Kimataifa (AICC) Arusha imemtimua kazi Mkurugenzi wa Miliki na Miradi wa kituo hicho, Paul Ndosa kwa ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za shirika hilo la umma.

 

10 years ago

TheCitizen

AICC now turns to real estate

The Arusha International Conference Centre (AICC) unveiled 50 new residential flats and said it was keen on tapping the lucrative real estate sector to add on to the conference business.

 

11 years ago

Michuzi

MAPACHA WATATU WAZALIWA SALAMA HOSPITALI YA AICC ARUSHA

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof. Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watoto hao, Janeth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospitali hiyo. (Picha kwa hisani ya AICC). Mama huyo alijifungua kwa njia ya oparesheni...

 

10 years ago

Michuzi

AICC YAZINDUA NYUMBA ZA KISASA ZA KUPANGISHA JIJINI ARUSHA

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga (katikati) akikata utepe kuashilia uzinduzi wa nyumba za kisasa za kupangisha za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha AICC jijini Arusha hivi karibuni. Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakihakikisha wanapata taarifa na matukio muhimu katika uzinduzi katika uzinduzi wa nyumba mpya (Apartments) za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli, ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani