Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uongozi wa AICC ‘waingizwa mjini’


NA SHAABAN MDOE, ARUSHA
UONGOZI wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), umeishitaki bodi yake ya zamani kwa kumega viwanja viwili na kuvimilikisha kwa wamiliki wengine kinyemela.
Umesema viwanja hivyo kwa sasa vimejengwa majengo makubwa ikiwemo hoteli ya kisasa na kanisa.
Mkurugenzi wa Miliki na Miradi wa AICC, Paul Ndosa, alitoa shutuma hizo mbele ya bodi mpya huku akisema kuwa madudu hayo yalifanywa miaka iliyopita na kwamba hakuna taarifa zozote.
Alisema maeneo yaliyomegwa...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

AICC YAENDELEA KUWAKILISHA KATIKA MICHEZO YA MEI MOSI MJINI MOROGORO

 Mwakilishi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Rutunda Boniface (wa pili kushoto) akiwa katika mstari tayari kwa ajili ya kuanza mbio za baiskeli za Kilomita 15 katika michezo ya Mei Mosi inayoendelea mjini Moorogoro. Rashid Habib Rashid wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kushoto akipambana na mpinzani wake kutoka Ofisi ya Rais katika mchezo wa karata, ikiwa ni sehemu ya michezo ya Mei Mosi inayoendelea mjini Moorogoro. (Picha na Rodney Thadeus wa...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Uongozi ya Bunge yakutana mjini dodoma leo

Mweneykiti wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) akiendesha kikao cha Kamati ya Uongozi mara baada kuahirisha kikao cha Bunge. Hapa anatoa ufafanuzi kwa baadhi mambo yalijitokeza ambapo pamoja na mambo mengine amesema taarifa ya IPTL itakabidhiwa kwa Waziri Mkuu naye ataikabidhi kwa Spika wa Bunge. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Mhe. William Lukuvi (Mb) (kulia) akifafanua hoja kwenye kikao hicho kilichofanyikaa katika Ukumbi wa Spika wa Bunge. Katibu wa Bunge...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE MAALUM YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KWANZA LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samuel Sitta akiongoza kikao cha kwanza cha kamati ya Uongozi baada ya kuundwa leo. Kamati hiyo inayoundwa na wenyeviti wa Kamati za Bunge Maalum wote 12  pamoja na mambo mengine inajukumu la kaundaa ratiba ya Bunge Maalum. Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge Maalum Yahya Khamis Hamad na aliyekaa kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum Mhe. Samia Suluhu Hassan.
 Naibu Katibu wa Bunge Maalum Dkt. Thomas Kashililah akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

AICC yakaribisha wawekezaji

KITUO cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha, (AICC), kimesema kinamiliki maeneo makubwa ya ardhi hivyo kutoa wito kwa wawekezaji kujitokeza kuyatumia kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maendeleo ikiwemo...

 

10 years ago

Habarileo

Mkurugenzi AICC afukuzwa kazi

BODI ya Wakurugenzi ya Kituo cha Mikutano ya Kimataifa (AICC) Arusha imemtimua kazi Mkurugenzi wa Miliki na Miradi wa kituo hicho, Paul Ndosa kwa ubadhirifu wa mamilioni ya fedha za shirika hilo la umma.

 

10 years ago

TheCitizen

AICC now turns to real estate

The Arusha International Conference Centre (AICC) unveiled 50 new residential flats and said it was keen on tapping the lucrative real estate sector to add on to the conference business.

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani